Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
Nimesoma hii ripoti kuwa Tech Hub zinakua kwa kasi sana Africa, Nigeria kuna hubs 55, Kenya 30 na hata Zimbabwe ina hubs 13.
Lakini cha kushangaza ni kwamba Tanzania inaonekana hazijashika moto kabisa na hata baadhi ya zilizokuwepo miaka 2-3 nyuma zimepotea (Kinu Hub), nadhani kuna Buni HUB kwa sasa.
Tatizo ni nini?
Link: Africa’s newest startup hubs are expanding beyond its legacy tech markets