Nini kimesababisha Mabinti wengi waliokuwa wamepanga siku hizi kurudi kuishi makwao?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Karibia 90% ya Mabinti ambao nawajua walikuwa wamepanga maeneo ya Mbezi Beach, Tegeta Masaiti, Upanga, Mwenge, Makumbusho, Kijitonyama, Sinza na Kimara wamerudisha Vyumba / Nyumba na sasa wamerudi kuungana na Baba na Mama zao huko makwao kuendelea na maisha yao.

Nini imepelekea hii hali? Tatizo ni nini hasa?

Nawasilisha.
 
Vyuma kukaza na hali ngumu ya maisha

Halafu ninachoshangaa na kujiuliza sana hawa Mabinti zamani waliwa wagumu kweli kutoa / kukupa salamu lakini siku hizi GENTAMYCINE hata nikiwa mbali nao kwa Kilometa 3 hadi 7 utaona wananikimbilia kabisa na kunisalimia wa ' unyenyekevu ' uliotukuka kabisa tofauti na zamani ambapo walikuwa ' wakininyali / wakinidharau ' tu. Kwahiyo Mkuu unataka kuniambia hivi Vyuma Kukaza na Hali ngumu ya maisha ndiyo imeweza kurudisha nidhamu ya aina hii? Basi naomba sana hii hali iendelee kuwa hivi hivi ili tuliokuwa ' tukipuuzwa ' huko nyuma sasa tuheshimike na tupapatikiwe na hawa ' Totooz '.
 
Kweli hata wale wa kupangishiwa upande mzima sahivi room moja wanacondence inatosha kia kitu... IRONS HAVE SQEEZED
 
Karibia 90% ya Mabinti ambao nawajua walikuwa wamepanga maeneo ya Mbezi Beach, Tegeta Masaiti, Upanga, Mwenge, Makumbusho, Kijitonyama, Sinza na Kimara wamerudisha Vyumba / Nyumba na sasa wamerudi kuungana na Baba na Mama zao huko makwao kuendelea na maisha yao.

Nini imepelekea hii hali? Tatizo ni nini hasa?

Nawasilisha.
mkuu kwan wewe ujaskia kauli ya "RUDI NYUMBANI KUMENOGA"
 
Halafu ninachoshangaa na kujiuliza sana hawa Mabinti zamani waliwa wagumu kweli kutoa / kukupa salamu lakini siku hizi GENTAMYCINE hata nikiwa mbali nao kwa Kilometa 3 hadi 7 utaona wananikimbilia kabisa na kunisalimia wa ' unyenyekevu ' uliotukuka kabisa tofauti na zamani ambapo walikuwa ' wakininyali / wakinidharau ' tu. Kwahiyo Mkuu unataka kuniambia hivi Vyuma Kukaza na Hali ngumu ya maisha ndiyo imeweza kurudisha nidhamu ya aina hii? Basi naomba sana hii hali iendelee kuwa hivi hivi ili tuliokuwa ' tukipuuzwa ' huko nyuma sasa tuheshimike na tupapatikiwe na hawa ' Totooz '.
MAISHA YANABADILIKA SANA AISEE
 
Hali.ngumu pesa zimepotea mtaani...

Na Sisi tuliokuwa tukipuuzwa kwa Ufukara / Umasikini wetu uliotukuka sasa hivi ndiyo ' tunawakanyaga ' hadi raha tena ' sometimes ' bure bure tu! Asante awamu ya Tano ' Kazeni ' hivi hivi ili turudishe heshima kwa wale waliokuwa ' wakitupuuza ' mwanzoni.
 
Vyuma vimebana pabaya awamu hii c ya mchezo
 
Awamu ya Tano sio mchezo

Jana Mzee katuambia mpaka kuna Watu wanatamani kufungwa wakale Dona haragwe bure
 
Naomba hali hii iendelee hivi hivi ili niwamalize wale wote niliokuwa na hasira nao na waliokuwa wakinipuuza kati ya mwaka 2005 hadi 2015. Tutaheshimiana tu Kudadadeki!
 
Awamu ya Tano sio mchezo

Jana Mzee katuambia mpaka kuna Watu wanatamani kufungwa wakale Dona haragwe bure

Leo mpaka GENTAMYCINE nasalimiwa tena kwa ' Kunyenyekewa ' na wale Mabinti waliokuwa wakinipuuza huko nyuma? Raha sana Mkuu! Baba Magu bana hivyo hivyo usiachie.
 
Back
Top Bottom