Nini kimepelekea Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker kuachia ngazi ghafla?

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wakuu,

Taarifa zilizopo ni kuwa mama huyu ameamua kuachia ngazi ghafla na amekuwa katika nafasi hii tangu 2015.

6899993C-F0E7-407A-9ECA-778E492094A3.png

Mama huyu ni mtaalamu aliyebobea kwenye hesabu na mifumo ya kompyuta.

Kalazimishwa? Kasoma dalili mbaya mbele? Kuna kitu nyuma ya pazia?
 
Muda tu umefika.

Moja ya masharti ya uwekezaji Rabobank walitakiwa wakileta CEO awe anafundisha watanzania ili akimaliza muda wake iwe Rahisi kwa mswahili kuchukua.

Tatizo hili lilitokea hata NBC ikabidi Mafuru aachiwe benki,wazungu kwa figisu wakamtengenezea ajali, japo aliipangua,lakini alimua kuondoka.

Huyo mama kibali cha kazi kimeisha, watu wamefukua mikataba, ikaonekana hawezi kupewa kibali.

We are sorry tunasikitika hatuwezi kukupa kibali kwa sasa, unashauriwa umuajiri mtanzania!
 
Sasa hivi kila Taasisi ambayo Serikali ina share inapata tabu sana kwa kuwa inalazimishwa kufanya taratibu zisizofaa.

Serikali ipo taabani kifedha imeshalamba fedha zote kwenye mifuko ya jamii sasa imegeukia kwenye mabenki ndiyo haya yanayowafanya watendaji wakuu kulala mbele
 
Safi.

Kwa hili hua nampongeza sana Magu.

Haiwezekani miaka 60 bado tunategemea wazungu kuendesha makampuni yao humu.

Mbona crdb inaendeshwa na watanzania na inafanya vizuri.

Huyo mama aondoke tu.
 
Nyakati Huwa Zinaamua
Bila Shaka Anaweza Kuwa Kwenye Wale Walitajwatajwa. Mkuu Alisema Ukiona Unatajwatajwa Jitafakari
*Safari Ya Dodoma December
 
Sasa hivi kila Taasisi ambayo Serikali ina share inapata tabu sana kwa kuwa inalazimishwa kufanya taratibu zisizofaa.

Serikali ipo taabani kifedha imeshalamba fedha zote kwenye mifuko ya jamii sasa imegeukia kwenye mabenki ndiyo haya yanayowafanya watendaji wakuu kulala mbele
acha Ramli
 
Back
Top Bottom