Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

Hapo anasema kabla ya kuwa Rais JPM alikuwaje na sasa yukoje na wapinzani!
Abraham Lincoln once said,
'Nearly all men can stand adversity, but if you want to test a man's character, give him power'.
Bwana yule kashika 'nyundo' kwa sasa kila kitu anakiona ni msumari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyofikiri ndivyo na mimi nimefikiri.Wanajaribu kuonyesha kuwa Magu hana chuki na upinzani.

In short,nafsi zao zinawatesa.

Dunia nzima inawashangaa kuwapiga wanawake ambao hawana silaha , ni aibu sana , yeye binafsi ndio aliagiza kikosi maalum cha magereza [KM] ambao mafunzo yao especially kwenye martial arts yanakaribia ya Makomandoo wakiwa maalum kudhibiti wafungwa sugu ambao kati yao inategemewa wapo wenye kujua kupigana hivyo wao wako trained kuwakabili.....FFU kwa KM ni watoto ....sasa imagine unaagiza kikosi cha kupambana na maharamia magerezani kwenda kuwapiga wanawake ...tena mwezi mtukufu .......tena mbaya zaidi bila kumshirikisha Kamishna Jenerali wa magereza ....Brig Gen Mzee Ambaye inadaiwa ametishia kurudi TPDF kwakua hakubaliani kabisa na jambo la uvunjaji haki za binadamu lililofanywa ....ikumbukwe kuwa maofisa wote wanaotoka TPDF sio watu wenye kushabikia uonevu wa raia .....
 
Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo?

Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu.

Je,ni hivi hivi tu?

Upendo huu umeanza lini?

Hii hawezi kuwa ni damage control?

View attachment 1398775

View attachment 1398776
Kuonyesha kwenye issue za Kitaifa, Watanzania we are one, tuungane, tushikamane, tushirikiane kama picha zinavyoonyesha.
P
 
Kinachonisumbua ni kwa nini uamue kumvunja mtu mkono? yaani Mwanaume unamvunja mwanamke mkono why? hata kama akiwa kakukosea je ni haki ukamvunja mkono au kiongo chake chochote?

Tunasema tuache mfumo dume kumbe hao hao Serikali wanauendeleza? kuna tofauti gani ya yule mwanaume aliyepelekewa maji bafuni ya kuoga then akaanza kumshambulia mkewe huyo kwa kipigo hadi akapoteza baadhi ya viungo vyake kisa eti kawekewa sabuni kichelema.

Bado kwa hili nasema - HAPANA...tuna matatizo sehemu...hatuko sawa hasa kwenye mambo ya kisiasa.
 
Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo?

Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu.

Je,ni hivi hivi tu?

Upendo huu umeanza lini?

Hii hawezi kuwa ni damage control?

View attachment 1398775

View attachment 1398776
hapa naona kama marais wote hawakupoteza muda

jk - kilimo uti wa mgongo (wakasahau bar, kilabu, ugonjwa, nyumba nao ulikuwa uti wa mgongo kwa wengine)

mwinyi (ruksa fanya utakavyo ili tujue uti wa mgongo wako)

mkapa (kuplant those inspiration)

jakaya (kilimo kwanza full kununua matrector labda saizi yatakuwa kama VX full services kila week)

magufuli (hapa kazi tu labda watategeneza kazi)

ajaye baibai kwa sabau ya steel mnaharibu

Fursa 2020 - JamiiForums
 
Back
Top Bottom