Nini kimemsababisha Membe kuzigeuka nchi nyingine kuhusiana na Nile Treaty?

Misri yatoa msaada vifaa vya upasuaji tezi dume

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea vifaa tiba vya upasuaji wa tezi dume na magonjwa mengine kutoka kwa Misri vyenye thamani ya Sh. milioni 850.

Mkurugenzi wa Wauguzi MNH, Agnes Mtawa, aliyasema hayo alipokuwa akipokea msaada wa vifaa hivyo, jijini Dar es Salaam jana.

Alisema huduma ya upasuaji wa mfumo wa mkojo ambao kitaalamu unafahamika kuwa ni Urolojia hutolewa katika Hospitali ya MNH na Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo mkoani Kilimanjaro.

"Kwa niaba ya Serikali na Watanzania naishukuru Serikali ya Misri kwa msaada huu wa vifaa tiba, hivyo vifaa hivi vitasaidia kutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa kwa kutumia hadubini (Endoscopy).

Mtawa aliomba Serikali ya Misri kuwasomesha wataalamu katika eneo matumizi ya hadubini ili kutoa huduma za upasuaji kwa kiwango kinachotakiwa.

Mkuu wa kitengo cha upasuaji MNH, Dk. Ryuba Nyamasongoro, alisema kuwa asilimia 60 ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji zaidi ni wenye matatizo kwenye mfumo wa mkojo.

Alisema huduma ya Urolojia ilianzishwa 2008 ikiwa chini ya Idara ya upasuaji kwa lengo la kuboresha huduma hiyo kwa wananchi, huduma ambazo kitengo hicho kinatoa ni pamoja na upasuaji wa tezi dume, kuziba kwa njia ya mkojo.

"Tunashukuru kupata vifaa hivyo kwa kuwa vitasaidia upungufu uliojitokeza kwa muda mrefu kuwa na kifaa cha kuondolea mawe kwenye figo," alisema.

Naye Mwanadiplomasia wa Ubalozi wa Misri nchini, Ahmed Rahim, alisema kuwa Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania kwa kutoa misaada mbalimbali ili kuendeleza uhusiano

source: NIPASHE

cc NasDaz, Nguruvi3, 1000 digits, MpendaTz, MtuKwao, Kiranga, nyumba kubwa, OLESAIDIMU, Mzuvendi
 
Last edited by a moderator:
Te te te tunaanza kuvuta fadhila...

International politics zinachezwa kwa kuangalia maslahi ya taifa...
Hatuna undugu na Ethiopia...
If it pays ku suport Misri why not...

..Cabinet iliridhia huo mkataba mwezi October.

..sasa inasemekana mjadala wa Escrow ndiyo uliozuia mkataba huo usijadiliwe na bunge na kuridhiwa.

..wakati huohuo tunaona WAMISRI nao wamechachamaa kutupa misaada tena ya matibabu ya TEZI DUME.

..sijui mwisho wa suala hili ni nini haswa.

cc VUTA-NKUVUTE, Mzee Mwanakijiji, NasDaz, Kiranga
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,
Kwanini umehusisha suala la msaada wa Misri na suala la Nile Treaty? Misri haijaanza kuisadia Tanzania jana wala juzi hususani katika suala la afya! Hata pale Muhimbili, mara kwa mara madaktari kutoka Misri wamekuwa wakienda kutoa huduma! Kiasi cha miaka minne hivi iliyopita, nilienda pale Barracks Police(Kilwa Road)... home kwangu kwa zamani! Hiyo siku kulikuwa na sherehe ya hao hao wa-Masri kukabidhi vifaa vya tiba vyenye thamani ya $ 500K, ambavyo ukipiga hesabu ni sawa na hesabu hiyo ya hapo juu! Si hivyo, kuna Watanzania kibao wamesomea Misri kwa pesa ya walipa kodi wa Misri kwahiyo hilo tukio halina uhusiano wowote na Nile Treaty... hawa jamaa hatukuanza nao leo! Na hata ukichukua moja ya conspiracy theories ambazo zilichochea mapinduzi ya Zanzibar, ni pale Shamte na wenzake walipoanza kujiweka karibu na Misri... bila shaka nadhani unazikumbuka siasa za wakati ule za Misri! Lakini kubwa kuliko yote, nilishawahi kukueleza kwamba, ile issue kwa hivi sasa wa-Misri wameamua kufanya negotiation na wahusika wakuu... Ethiopia! Don't forget, sehemu kubwa ya maji yanayoenda Misri source yake sio Ziwa Victoria bali Ethiopia.

In addition, nilikuuliza what happened kwenye mkataba uliotarajiwa kusainiwa november kama ilivyokuwa imesemwa na Maghembe! Good enough ukanipa link... JokaKuu, sitaki kuamini kwamba umeamini that cheap lie! Hivi kweli kitu muhimu kama treaty ambacho tayari kilikuwa kwenye timetable kingeachwa kujadiliwa kwa ajili ya Escrow? Kuna mambo mangapi yamejadiliwa kwenye kikao cha novemba ambayo wala hayahusiani na escrow? why iwe Nile Treaty peke yake? By the way, kwenye ile habari wamesema suala la Nile Treaty lilipangwa kuzungumzwa siku moja kabla ya kikao, ni nini basi kiliwafanya wasubirie kikao? But all in all, kwani Escrow Saga iliibuka from nowhere?

I hate to say this, basi maelezo ya Katibu wa Bunge hayana tofauti yoyote na kalenda za mara kwa mara kuhusu uwasilishwaji wa muswada wa uhuru wa habari...
 
Last edited by a moderator:
Misri yatoa msaada vifaa vya upasuaji tezi dume

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea vifaa tiba vya upasuaji wa tezi dume na magonjwa mengine kutoka kwa Misri vyenye thamani ya Sh. milioni 850.

Mkurugenzi wa Wauguzi MNH, Agnes Mtawa, aliyasema hayo alipokuwa akipokea msaada wa vifaa hivyo, jijini Dar es Salaam jana.

Alisema huduma ya upasuaji wa mfumo wa mkojo ambao kitaalamu unafahamika kuwa ni Urolojia hutolewa katika Hospitali ya MNH na Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo mkoani Kilimanjaro.

"Kwa niaba ya Serikali na Watanzania naishukuru Serikali ya Misri kwa msaada huu wa vifaa tiba, hivyo vifaa hivi vitasaidia kutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa kwa kutumia hadubini (Endoscopy).

Mtawa aliomba Serikali ya Misri kuwasomesha wataalamu katika eneo matumizi ya hadubini ili kutoa huduma za upasuaji kwa kiwango kinachotakiwa.

Mkuu wa kitengo cha upasuaji MNH, Dk. Ryuba Nyamasongoro, alisema kuwa asilimia 60 ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji zaidi ni wenye matatizo kwenye mfumo wa mkojo.

Alisema huduma ya Urolojia ilianzishwa 2008 ikiwa chini ya Idara ya upasuaji kwa lengo la kuboresha huduma hiyo kwa wananchi, huduma ambazo kitengo hicho kinatoa ni pamoja na upasuaji wa tezi dume, kuziba kwa njia ya mkojo.

"Tunashukuru kupata vifaa hivyo kwa kuwa vitasaidia upungufu uliojitokeza kwa muda mrefu kuwa na kifaa cha kuondolea mawe kwenye figo," alisema.

Naye Mwanadiplomasia wa Ubalozi wa Misri nchini, Ahmed Rahim, alisema kuwa Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania kwa kutoa misaada mbalimbali ili kuendeleza uhusiano

source: NIPASHE

cc NasDaz, Nguruvi3, 1000 digits, MpendaTz, MtuKwao, Kiranga, nyumba kubwa, OLESAIDIMU, Mzuvendi

When you calculate the dollar amounts, you could say that this is something that Tanzanians should be able to afford it without any pain. I am not saying that the Eqyptians shouldn't help Tanzanians. They should. But they shouldn't that to influence Tanzanian foreign policies.
 
Hii si mara ya kwanza Misri kutoa misaada kwenye sekta ya afya... kwa mfano, year 2011 walitoa msaada wenye thamani sawa na hiyo hapo juu kwa ajili hospitali ya polisi pale Kilwa Road.
 
NasDaz,

..wako wengine wanaamini kwamba Wamisri wamekumbuka mahusiano na wa-Tz baada ya majadiliano ya mkataba mpya wa mto Nile kuanza.

..nakumbuka kusoma mahali Dr.Salim Salim akishauri kwamba ingependeza kama mahusiano yetu na Misri yakaimarika haswa kwa ziara za viongozi wakuu. Kidiplomasia hiyo naweza kusema kwamba Dr.Salim alikuwa akimaanisha kwamba mahusiano baina ya Tz na Eg ni "legelege."

..siasa zetu za mambo ya nje hazieleweki-eleweki siku hizi. kuna nchi kama Algeria waliotusaidia wakati wa vita vya Uganda inasemekana tumewatupa mkono. Suala la uhuru wa Sahara Magharibi sijui tunalizungumzia vipi siku hizi. But I dont think we are as vocal as we used to be. Suala hilo linahusisha Algeria kwa kiasi kikubwa.

..Mimi nasema tusubiri kikao kijacho cha bunge tuone nini kitatokea. Uzuri ni kwamba ingawa wa-Tz hatufuatilii suala hili, wenzetu ktk bonde la mto Nile wanafuatilia kwa karibu sana.

cc Nguruvi3, Pasco
 
Last edited by a moderator:
nukuu gazeti la maana

..katika thread hii tumenukuu vyanzo mbalimbali vya habari ndani na nje ya nchi.

..tumenukuu magazeti ya Tz, na mengine toka nje ya nchi, pia tumenukuu HANSARD za mabunge ya Tanzania na Misri.

..napenda kukuhakikishia kwamba wachangiaji ktk mjadala huu wajitihidi kuchangia kwa weledi na ustaarabu wa hali ya juu.

cc NasDaz, MpendaTz, Sangarara, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Hii si mara ya kwanza Misri kutoa misaada kwenye sekta ya afya... kwa mfano, year 2011 walitoa msaada wenye thamani sawa na hiyo hapo juu kwa ajili hospitali ya polisi pale Kilwa Road.

Yes they have helped Tanzania in the past. But the question is when Tanzanians will start taking charge of their own affairs? I am putting this question not because I feel that Egyptians have their own agenda, but because the dependence of foreign aid hasn't helped the country. The aid have nurture the culture of irresponsibility among Tanzanian leaders. And to make it clear, I would have responded even stronger if the topic was about aid from the so called donor countries.
 
NasDaz,

..wako wengine wanaamini kwamba Wamisri wamekumbuka mahusiano na wa-Tz baada ya majadiliano ya mkataba mpya wa mto Nile kuanza.

..nakumbuka kusoma mahali Dr.Salim Salim akishauri kwamba ingependeza kama mahusiano yetu na Misri yakaimarika haswa kwa ziara za viongozi wakuu. Kidiplomasia hiyo naweza kusema kwamba Dr.Salim alikuwa akimaanisha kwamba mahusiano baina ya Tz na Eg ni "legelege."

..siasa zetu za mambo ya nje hazieleweki-eleweki siku hizi. kuna nchi kama Algeria waliotusaidia wakati wa vita vya Uganda inasemekana tumewatupa mkono. Suala la uhuru wa Sahara Magharibi sijui tunalizungumzia vipi siku hizi. But I dont think we are as vocal as we used to be. Suala hilo linahusisha Algeria kwa kiasi kikubwa.

..Mimi nasema tusubiri kikao kijacho cha bunge tuone nini kitatokea. Uzuri ni kwamba ingawa wa-Tz hatufuatilii suala hili, wenzetu ktk bonde la mto Nile wanafuatilia kwa karibu sana.

cc Nguruvi3, Pasco
JokaKuu,

Wamekumbuka kwa maana ipi? Nimekupa mfano hapo kwamba mwaka 2011, Egypt hiyo hiyo walitoa msaada kama huo Pale Polisi Kilwa Road! Aidha, usisahau kwamba, ni mwaka huo huo 2011 Egypt ikaingia kwenye machafuko na haikuja ku-settle hadi hivi majuzi baada ya kuingia Abdel Fattah el-Sisi. By the way, hivi nchi kama imepata kukusaidia ndo iwe nongwa kwamba kila wakati ukisaidie na isipokusaidia kuna agenda na ikianza tena kwa nafasi yake ndo ionekane kuna kitu inatafuta?

Hilo la Algeria... tumewatupa kivipi? Binafsi sikumbuki hao Algeria ili kuwasaidia nini hapo kabla hata useme hivi sasa tumewatupa... sana sana ninachofahamu ni wao kutusaidia sisi hususani kwenye suala la elimu na hadi sasa wanafunzi wetu bado wanaenda Algeria kusoma kwa fedha za walipa kodi wa Algeria! Isitoshe, hata Muhongo na mambo ya gesi yake, Algeria ni moja ya nchi ambazo alienda... kwa kumbukumbu zangu ndio nchi pekee kwa Afrika! Sasa ikiwa Wa-Algeria wenyewe hawajalalamika kwamba hatuwajali na kwamba tumewatupa, sasa inakuaje tena walalamike wa-Tanzania?

Kwamba SAS alishauri uhusiano wetu na Misri tuuimarishe kwa viongozi wetu kufanya ziara Misri jambo linaloashiria kuleg alega kwa uhusiano huo kwanza ingekuwa ni busara tungepata taarifa kamili ili tuangalie muktadha wa kauli ya SAS coz' binafsi sijaona kama kuna tofauti yoyote kati ya TZ na Misri lakini hata hapo zamani, kama kuna kitu Misri ilikuwa inafanya si kila wakati na kama ni kila wakati basi inadhihirisha wazi kwamba Misri imekuwa ikifanya hayo hata kabla ya suala hili la sasa...

Kwamba tusubirie kikao cha bunge kijacho... SAWA, lakini Membe hakusema Tanzania haitasaini bali alisema hakuna mkataba utakaosainiwa Novemba na kweli novemba imepita bila mkataba kupitishwa na hivyo, kauli yake imetimia!!!
 
..hili fupa lilishamshinda Membe.

..Cabinet imesharidhia, na hapa chini nimekuletea taarifa za ratiba ya bunge la 16 na 17 ambapo mkataba wa matumizi ya mto Nile ilikuwa uridhiwe.

Ratiba ya Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge Novemba 4 -28, 2014

Kufuatia uwepo wa Bunge Maalum la Katiba lililomalizika mwezi Oktoba, Mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Kumi na Sita na wa Kumi na Saba ilipangwa kufanyika kwa pamoja kuanzia tarehe 4 – 28 Novemba, 2014 mjini Dodoma.

Kazi zitakazofanyika katika mikutano hiyo ni pamoja na Bunge kukaa kama Kamati ya Mipango kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 94(1) na kupokea, kujadili na kutoa maoni na ushauri kuhusu bajeti ya serikali, vyanzo vya mapato pamoja na mapendekezo ya utekelezaji wake.

Aidha kutakuwa na kusomwa kwa mara ya pili na hatua zake zote kwa miswada ya Sheria ya Serikali ambayo ilikwishasomwa kwa mara ya kwanza katika mikutano iliyotangulia; Muswada Binafsi wa Mbunge na Muswada Binafsi wa Kamati kama ifuatavyo:

A.Miswada ya Sheria ya Serikali
i.Muswada ya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani wa Mwaka 2014. [The Value Added Tax Bill, 2014]

ii.Muswada wa Sheria ya Takwimu wa Mwaka 2013. [The Statistics Bill, 2013].
iii.Administration Bill, 2014]

iv.Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa Mwaka 2014 [The Public Private Partnership (Amendment) Bill, 2014] na,

v.Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa Mwaka 2014. [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2014]

B.Muswada Binafsi wa Mbunge

Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa Mwaka 2013. [The Youth Council Bill, 2013]

C.Muswada Binafsi wa Kamati

Muswada wa Sheria ya Bajeti wa Mwaka 2014. [The Budget Bill, 2014].

Aidha, Bunge litapokea taarifa ya Kamati Teule iliyoundwa tarehe 1/11/2013 ili kuchunguza na kuchambua sera mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na uwekezaji ili kubaini kasoro zilizomo katika matumizi ya ardhi.

Pamoja na mambo mengine, Bunge pia litajadili maazimio matatu ambayo ni:

i. Azimio la kuridhia Itifaki ya Afrika Mashariki Kuhusu Ushirikiano katika Masuala ya Kiulizi. [The East African Protocol on Cooperation in Defence Affairs].

ii. Azimio la Bunge kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano ya msingi ya Ushirikiano katika Bonde la Mto Nile, [Agreement on the Nile River Basin Co-operative Framework – CFA]

iii. Azimio la kuridhia Itifaki ya Uzuiaji wa Vitendo Haramu dhidi ya Usalama wa Miundombinu ya kudumu iliyojengwa chini ya Bahari katika mwambao wa Bara ya mwaka 1988.[The Protocol for the Suppression of Unlawful Acts against the Safety of Fixed Platforms located on the Continental Shelf – SUA, 1988].

Aidha, kutakuwa na maswali ya kawaida kwa mujibu wa kanuni ya 39(1) ambapo kwa mikutano hii miwili yakuwa 265 na maswali kwa Waziri Mkuu kwa mujibu wa kanuni ya 38(1).

Mwisho Waheshimiwa Wabunge wakiwa Dodoma watapata fursa ya kushiriki semina mbalimbali za kujenga uwezo katika nyanja za kilimo na usalama wa chakula; faida za ushirikiano katika Bonde la Mto Nile; na umuhimu wa kupima/kuchunguza afya mara kwa mara.

Ratiba ya Mkutano itatolewa mara baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi kitakachofanyika tarehe 4 Novemba 2014, Dodoma.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Niseme tu kwamba sasa unaleta vichekesho!! Jana tu hapa umetoa link kuonesha kwamba hilo suala limekuwa postponed till next session; leo tena unakuja na link kuonesha kwamba Bunge limeridhia... which is which?

Anyway, if you ask me, ukweli ni ule uliotoa jana na sio huu wa leo kwamba bunge limeridhia! Ulichotoa hapo juu ni ratiba ya mambo ambayo bunge ingeshughulika nayo lakini hilo la Nile hawakulifanyia kazi. But what's more interesting, ukisoma huo mlolongo wa matukio, utagundua yote hayo yalifanyika kasoro hilo moja tu la Nile! Tena ili mengine yaweze kufanyika, hilo la Nile likarukwa kwenye mlolongo... je, ina maana halikuwa na umuhimu sana hata wakaamua kuliruka na kujadili mengine na hilo kuli-forward kikao kijacho?

Hili moja, but second... hivi kwanini hili suala mnalichukulia too personal? Why iwe Membe mathalani na sio Rais mwenyewe? But all in all tunarudi kule kule... Membe alisema mkataba usingesainiwa novemba na kweli hukusainiwa. Kwamba cabinet imeridhia ni suala moja na kuridhiwa bungeni ni jambo lingine na isitoshe suala la cabinet kuridhia sio la jana... hata kabla ya kikao kilichopita cabinet ilikuwa imesharidhia!!! Lakini kwa upande mwingine, huu si muswada pekee kuridhiwa na cabinet na kisha ukaanza kusua sua katika hatua za mwisho!
 
..nilicholeta hapa ni ratiba ya vikao ya bunge la 16 na 17 ambalo lilikuwa liridhie mkataba wa matumizi ya mto nile.

..I was just trying to raise the level of our discussions here, kwamba tunajenga hoja huku tukizitetea kwa ushahidi.

..Waziri Membe amevamia suala hili. Katika kufanya hivyo ameonekana kwenda kinyume na msimamo wa serikali na maslahi ya Tanzania, na zaidi amekuwa akimdharau waziri mwenzake. Hali hiyo ndiyo imesababisha focus kubwa iwe kwake na siyo Raisi au kiongozi mwingine yoyote.

..Mwisho, nadhani kauli za Waziri Membe kuhusu mkataba wa mto nile ni za kupuuzwa. Kwanza hoja zake za kuupinga mkataba huu hazina msingi wowote ule, wala maslahi kwa taifa letu. Pili, alidai ataitisha mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoko ktk bonde la mto, tunajua mkutano huo haukutishwa. Tatu, alisema hatukuwa na ratification, sasa tunaona Cabinet imesha-ratify na tunachosubiri ni mkataba huu to sail through the parliament.
 
Last edited by a moderator:
Membe familia tu imemshinda ndio awe Rais !! Vichekesho bint yake kakimbilia Zanzibar nyumbani watoto Kama machokoraa yaani Kwa wazir wazazi wakitoka fridge inatiwa kufuli
Mtu hawez kuongoza hata familia alaf anataka kuwa Rais only in tz
 
NasDaz,

..wako wengine wanaamini kwamba Wamisri wamekumbuka mahusiano na wa-Tz baada ya majadiliano ya mkataba mpya wa mto Nile kuanza.

..nakumbuka kusoma mahali Dr.Salim Salim akishauri kwamba ingependeza kama mahusiano yetu na Misri yakaimarika haswa kwa ziara za viongozi wakuu. Kidiplomasia hiyo naweza kusema kwamba Dr.Salim alikuwa akimaanisha kwamba mahusiano baina ya Tz na Eg ni "legelege."

..siasa zetu za mambo ya nje hazieleweki-eleweki siku hizi. kuna nchi kama Algeria waliotusaidia wakati wa vita vya Uganda inasemekana tumewatupa mkono. Suala la uhuru wa Sahara Magharibi sijui tunalizungumzia vipi siku hizi. But I dont think we are as vocal as we used to be. Suala hilo linahusisha Algeria kwa kiasi kikubwa.

..Mimi nasema tusubiri kikao kijacho cha bunge tuone nini kitatokea. Uzuri ni kwamba ingawa wa-Tz hatufuatilii suala hili, wenzetu ktk bonde la mto Nile wanafuatilia kwa karibu sana.

cc Nguruvi3, Pasco
Mkuu
Hapa umenikumbusha marehemu Houari Bumedian aliyekuwa rafiki sana wa Nyerere.
Wotewalikuwa no-aligned movement na wasemaji wa mambo muhimu ya Afrika.
Morocco ilikuwa katika wakati mgumu na Algeria kutokana na suala la Sahari Magharibi

Zamani ilipozungumziwa Nabia na Swapo, South Africa na ANC, basi Polisario ilikuwakaribu.
Ni kweli kwasasa hatuna kauli kwasababu heshima yetu kimataifa imetetereka sana.

Houari kama ulivyosema alikuwa karibu sana na Tanzania. Jenerali Ulimwengu anaweza kuelezavema.
 
halafu humu wapo wanampigia kampeni awe rais! hata wampigie kampeni wakiwa uchi huyu hatumtaki ng'oo. alishasema NDUGU ZAKE NI WAPALESTINA.AENDE AKAGOMBEE KWA WAPALESTINA
 
NasDaz,

..nilicholeta hapa ni ratiba ya vikao ya bunge la 16 na 17 ambalo lilikuwa liridhie mkataba wa matumizi ya mto nile.

..I was just trying to raise the level of our discussions here, kwamba tunajenga hoja huku tukizitetea kwa ushahidi.

..Waziri Membe amevamia suala hili. Katika kufanya hivyo ameonekana kwenda kinyume na msimamo wa serikali na maslahi ya Tanzania, na zaidi amekuwa akimdharau waziri mwenzake. Hali hiyo ndiyo imesababisha focus kubwa iwe kwake na siyo Raisi au kiongozi mwingine yoyote.

..Mwisho, nadhani kauli za Waziri Membe kuhusu mkataba wa mto nile ni za kupuuzwa. Kwanza hoja zake za kuupinga mkataba huu hazina msingi wowote ule, wala maslahi kwa taifa letu. Pili, alidai ataitisha mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoko ktk bonde la mto, tunajua mkutano huo haukutishwa. Tatu, alisema hatukuwa na ratification, sasa tunaona Cabinet imesha-ratify na tunachosubiri ni mkataba huu to sail through the parliament.
JokaKuu,
Tatizo unasikiliza siasa badala ya facts! Membe alitamka wazi kwamba mkataba hautahidhinishwa hiyo novemba na kweli haukuhudhinishwa matokeo yake unaweka ushahidi wa ratiba ya vikao vya bunge!!! Ndio maana nikakuuliza, ni sababu zipi za msingi ambazo zilifanya bunge zijaribu yote yaliyomo kwenye ratiba na ishindikane hilo la Nile? Mbaya zaidi;according to ratiba, Azimio la kuridhia Itifaki ya Uzuiaji wa Vitendo Haramu dhidi ya Usalama wa Miundombinu lilipaswa kujadiliwa baada ya kujadiliwa hilo la Nile lakini matokeo yake hilo la Nile wakaliruka... KWANINI? Ina maana hilo la Nile halikuwa na umuhimu kiasi hicho?

Kwamba hakutakuwa na ratification naona unafanya exaggeration, sijui ni kwanini kwa sababu nafahamu kwamba unafahamu alichosema Membe si kwamba hakutakuwa na ratification, bali alichosema ambacho hata wewe mwenyewe unakifahamu ni hiki hapa:
There will be no ratification in November, I can assure you. Tanzania's position hasn't changed. This is a diplomacy issue, not a technical issue for any engineer to comment on.
Now tell me;
hivi kauli kwamba "hakutakuwa na ratification...!" ni sawa na kusema: "There will be no ratification in November" Is it the same? Come on dude, mbona hii issue simple sana? Kwani hiyo November imefanyika hiyo ratification? Nakukumbusha kwa mara ya pili, issue kupita baraza la mawaziri wala sio guarantee kwamba ndo basi tena....!!!

Kwamba Membe anaupinga huu mkataba ni upotoshaji mwingine lakini kubwa zaidi ni pale unaposema hoja ya Membe haina maslahi kwetu! Wala sitakuwa na haja ya kuelezea tena hapa manake nimeshafanya hivyo mara kadhaa lakini itoshe tu kusema kwamba hili jambo watu hamliangalii kwa mapana yake... kwanza, nikukumbushe tu kwamba asilimia kubwa ya maji inayotumia Egypt hayatoki Lake Victoria bali Ethiopia ambako ndiko chanzo cha 80% ya Nile water; hilo mosi lakini pili tuache huu upotoshaji usio na maana coz' wala hamna anayesema kwamba turejee kwenye mikataba ya kikoloni ambayo Egypt ilipewa exclusive rights za matumizi ya maji... hoja inayozungumzwa ni kuipa Egypt preferential treatment; preferential treatment ambayo kimsingi itakayoi-affect ni Ethiopia kwa kuwa ndio chanzo cha maji kinachotumika Misri! Na kutokana na ukweli huo ndio maana Egypt wamekata shauri la ku-collude na Ethiopia wenyewe.

Mwisho, ningependa kukumbusha kwamba achana kuhadaika na kauli za kisiasa kwavile tu zina-serve your purposes! Usisahau kwamba, moja ya sehemu ambayo Maghembe alisema kuhusu ratification in novemba ni bungeni pale alipobanwa kuhusu usambazi wa maji!! JokaKuu, you're too smart kufahamu kwamba ukosefu wa maji safi na salama nchi hauna uhusiano wowote na kusainiwa ama kutosainiwa kwa Nile Treaty! Likewise, hakuna chochote nchi hii ambacho tunakosa kwa sababu tu ya kuto-ratify Nile Treaty! Lakini kwavile mme-opt tu-take every lie as long as it serves your needs, then be prepared to take so maaaaaaaaaaaany lies kisha mje hapa tena kusingizia Membe wakati akina Maghembe wanatumia kama escapism! Nadhani hata Waziri wa Kilimo akibanwa kuhusu umwagiliaji nae atasingizia Nile Treaty... come on, am not that blind as long as nafahamu enzi za Mkapa chini ya Mwandosya maji yalivutwa Ziwa Viktoria hadi Kahama bila ya kuwapo hiyo ratification... na hata zile sehemu ambako maji hayajafika wala sio kwa sababu ya kuto-ratify!
 
NasDaz,

..Membe alikuwa anaupinga huu mkataba.

..sasa hapa naona ame-run out of options kuuzuia usiridhiwe.

..kwanza, ameshindwa kuitisha mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje, mkutano ambao Membe alitaka ujadili jinsi ya kuipendelea Misri.

..pili, mkataba umepita katika baraza la mawaziri la JMT ambalo Membe ni mjumbe wake.

..YES, mkataba haujaridhiwa na bunge in november, hilo limetokea siyo kwasababu Membe amesema iwe hivyo, bali kwasababu kulikuwa na hoja ya kashfa ya escrow.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom