jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,058
- 35,833
Wakuu heri ya mwaka mpya 2022
Nisiwachoshe sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Tangu awamu ya Tano kuingia madarakani..2015..tulikua tukipewa updates kuhusiana na ukusanyaji wa kodi wmza watanzania kupitia chombo chetu cha ukusanyaji kodi TRA..taarifa hizi zilitolewa kila mwezi,hivyo walipa kodi walifahamu makusanyo ya kodi zao kwa mwezi..kwa robo mwaka,nusu mwaka na mwaka mzima.
Hii kupelekea wengi kuiamini serikali iliyokua chini ya later JPM.
Tangu kuingia kwa raisi wa 6 SSH..ambaye mimi naamini anamalizia ungwe ya awamu ya 5..rais SSH alingia na kauli mbiu ya kazi iendelee hakika kazi zinendelea na tunaziona.
Hivyo mwanzoni taarifa za ukusanyaji wa mapato zilitolewa na chombo chetu cha ukusanyaji wa kodi.
Pia tangu kuanza kwa tozo za miamala ya simu tulipewa taarifa ambapo zilikusanywa takribani 48b mwezi Agosti mwaka 2021...na kuelekezwa matumizi yake katika kufanikisha lengo nadhima ya ungwe hii ya kazi iendelee.
Swali langu je? Utaratibu wa kutoa taarifa za kodi na tozo na matumizi yake kwa walipa kodi umeishia wapi je kazi haiendelei tena?
Au tumegeukia new norm ya kutembeza bakuri na kujifia tunauwezo wa kukopesheka.
Je ile dhana ya ujamaa na kujitegemea imepitwa na wakati?
Mungu ibariki Tanganyika.
#MaendeleoHayanaChama