Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
7,270
15,309
Hii kinywaji ni imported, from Kenya nadhani, by Serengeti Breweries Limited. RRP 3,000/= TZS

Ni alternative nzuri sana kwa wale wanaokunywa pombe ila hawanywi beer. Hii kitu ni lemonade flavored, toned down vodka. Colourless like water. Foamless (haina povu). Hangover-less. Simply perfect.

Hiki kinywaji hakina mpinzani. There is nothing like it. Ukiiulizia ukaikosa, there is no suitable alternative. Tumechangia sana pato la taifa kupitia hii kitu.

In the recent months za 2019, kinywaji hiki kimeadimika sokoni. Wauzaji wa liquor wanasema Smirnoff Ice imeadimika. Hata viwanja vikubwa havina hiki kiburudisho. Sio dar, sio mikoani. Ila ukivuka borders, kinapatikana vizuri tu East Africa. Juzi tu nilikuwa Kiyunga, Luuka - Uganda ndani ndani huko ambapo watu wanaongea Luganda na Busoga tu. Kiingereza mtiti. Local pubs. Ila hii kitu niliipata bila kusahau Uganda Waragi.

Cha kushangaza, hiki ni kinywaji with a very loyal following. It is truly reverred by many. Ukiniambia demand ni ndogo, napata shida kuamini

I humbly request for any info regarding this refreshment. Leo nimekitafuta nimekikosa. Labda nikijua kilichoikumba I, and many like myself, will get closure.
 
Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo


Fanyeni kazi aiseee
Maisha siyo kazi tu naona umekalili kuwa maisha ni kazi tu kuna vitu vingine nje baada ya kazi

Mungu mwenyewe kipindi cha uumbaji aliumba dunia siku sita ila siku ya saba akapumzika je unajua alipopumzika alikuwa anatumia nini totoz, bwax, au alilala tu ujui

Kazi na bata, wewe kama umeamua kufanya kazi masaa 24 komaa tu acha wengine wajadili vitu vingine

Ujuaji mwingi ujui je kama mleta mada ni afisa masoko wa smine off yupo kukipa promo kinywaji chake uoni anafanya kazi

Acheni kujifanya mnaakili sana kuzidi wengine
 
Screenshot_20190818-080111_1566104531783.jpg

Smirnoff ice imeadimika baadhi ya sehemu, na kwingine wanayo ile vodka ( ipo kama k vant...
Ice itabaki kuwa the best
 
Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongo


Fanyeni kazi aiseee
Wenzako tulishatoboa huenda mkuu .unadhani asiye na uhakika wa kupata hata jero la kulipia nauli atathubutu kuzungumzia hoja kama hizi .Bila bando pia angepita huku.
Hatulingani mkuu
 
Back
Top Bottom