Nini kimeikumba kampuni ya Dangote Cement?

Cement haionekani mtaani!!

Magari ya kampuni yanafanya kazi za kusomba somba mizigo huku mitaani ambayo haihusiani na kiwanda (kwa kifupi madereva wanatumia magari kwa manufaa yao au tuseme wamejimilikisha magari?

Michezo ya magari na vifaa vyake haielezeki.

Tuambiane nini kimetokea kwa wanaofahamu?

Dangote anajuta kuwekeza nchi hii. Na nina uhakika kwenye forums za investors anatupaka vilivyo. Tusitegemee uwekezaji usiokuwa na government guarantee as long as Jiwe yupo madarakani.
 
Kiwanda kinapiga kazi fresh tu
 
kuna jamaa yangu aliibiwa na dereva wa dangote mzigo wa million7 toka kahama kwenda Dar

zilikuwa tenga 80 za nyanya

usilogwe upakize mzigo wako na lorry za dangote, madereva wake wezi balaa
Inategemea na wewe mwenye mzigo uko makini kiasi gani!! Japo kuna karatasi yenye onyo juu ya mzigo ambao sio wa dangote ukikutwa umepakiwa, unataifishwa!!! Mimi mbona huwa nawatumia sana kusafirisha mizigo yangu!!
 
Hawaruhusiwi kubeba mzigo zaidi cement na mawe ya gypsum ,Kama wanna mizigo tofaut na huo toen taarifa kituo chochote Cha police.
Kwani mkuu wale waliokuwa wanawatumia picha pindi wakiliona gari la dangote limepakia mzigo tofauti na wa kampuni, wameshindwa kazi?!! Kumzibiti mbongo ni kazi sana, njaa ni jitu baya sana!!!! Lazima ujifunze mbinu nyingine!!! Hiyo ya picha pamoja na vts vimedunda!! Ila bwana kwa uendeshaji tu wanaweza, siku nimesafirisha mzigo wangu, na mimi nikawemo daaaa, hiyo safari sitakuja isahau kamwe!!
 
Cement haionekani mtaani!!

Magari ya kampuni yanafanya kazi za kusomba somba mizigo huku mitaani ambayo haihusiani na kiwanda (kwa kifupi madereva wanatumia magari kwa manufaa yao au tuseme wamejimilikisha magari?

Michezo ya magari na vifaa vyake haielezeki.

Tuambiane nini kimetokea kwa wanaofahamu?
kama ungetoa malalamiko cement ya Dangote ipo juu bahadhi ya maeneo ya Wilaya ya Mkulanga, Kibiti, Rufiji na Kilwa kuliko inavyouzwa Dar ungesaidia sana
 
Hahaah
Kwani mkuu wale waliokuwa wanawatumia picha pindi wakiliona gari la dangote limepakia mzigo tofauti na wa kampuni, wameshindwa kazi?!! Kumzibiti mbongo ni kazi sana, njaa ni jitu baya sana!!!! Lazima ujifunze mbinu nyingine!!! Hiyo ya picha pamoja na vts vimedunda!! Ila bwana kwa uendeshaji tu wanaweza, siku nimesafirisha mzigo wangu, na mimi nikawemo daaaa, hiyo safari sitakuja isahau kamwe!!
 
....DANGOTE baba laoooo...dangote baba laoo.... acha fitina, huenda dereva amekugomea kubeba mzigo wako ama amekutoza zaidi ya ulivyotakaaee
 
kuna jamaa yangu aliibiwa na dereva wa dangote mzigo wa million7 toka kahama kwenda Dar

zilikuwa tenga 80 za nyanya

usilogwe upakize mzigo wako na lorry za dangote, madereva wake wezi balaa
Samahani mkuu aliibiwaje? Alipakia mzigo kisha akapanda usafiri mwingine? Usipende kujumuisha watu katika tuhuma
 
Labda alipakiza kiboya boya tu!! Amelisimamisha barabarani, akapakiza mzigo bila kuchukua namba ya gari wala ya dreva unategemea nini kama dreva mwenyewe ni muhuni? Na yanafanana kila kitu isipokuwa namba za usajiri na zile za pembeni!! Na huwezi kwenda ofisini kulalamika kwa tahadhari ipo kwenye gari imebandikwa!!! Wale inabidi ukomane nao anatia gia uko pembeni yake!! Ila mwendo wao mmm!!! Sio rafiko kwa mpenda uhai!!!
 
Back
Top Bottom