Nini kilichofichika nyuma ya pazia juu ya uunguaji wa masoko Mbeya Mjini?


Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,181
Likes
113
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,181 113 160
WanaJF naomba niulize ni nini kilichopo nyumz ya pazia juu ya uunguaji wa masoko mkoani Mbeya. Usiku wa kuamkia leo tena soko lingine la Forest limeungua moto na kuteketeza karibu vibanda kumi na moja ikiwa ni siku mbili tu tangu soko la Sido kuungua moto! Haijaeleweka mpaka saizi hayo ywnwyojiri ni kwa sababu;
  1. Hitilafu ya umeme
  2. Chuki ya kisiasa
  3. Roho chafu ya umaskini inayotaka kuliandama jiji hilo
Naomba kuwasilisha ili tujiulize kulikoni?
 

Forum statistics

Threads 1,236,662
Members 475,218
Posts 29,265,890