MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Kwa mtazamo wangu Balozi ni mtu mkubwa sana pengine kuliko hata mbunge wangu.
Mfano Balozi wa tanzania China au Malysia au India anaona mengi ambayo sisi huku hatufanyi maana yuko na watu wanaokimbia mchakamchaka na sisi tumelala.
Ushauri wake mmoja tu ukifanyiwa kazi unaweza kubalidili taifa zima kabisa kimaendeleo na kiuchumi.
Bado tuko na mabalozi kila kona lakini wamasai,serengeti, tanzanite,Mt Kilimanjaro duniani vinajulikana viko kenya. Nahisi hata majirani wa balozi zetu huko wanafahamu hivyo.
Magufuli review vigezo vya mtu kuwa balozi boresha Economic Depromacy, ambavyo hata mimi wa kijijini sijui kigezo cha mtanzania kuwa balozi naomba nifahamishwe.