Sijui hata walimtoa wapi huyu kituko waoHivi Amunike alishawahi kuwa kocha? Bora Maximo stars ilikuwa inaonyesha hata shoo gemu kuliko hii ya amulike
simple. sasa ni payback time kwa Uganda.Wadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya kulalamika. Ahsanteni.
kwenye michuano hiyo sio kitu rahisi kama unavofikilia,ikibainika tu uganda anapigwa faini na kufungiwa miaka mitatu!!!je yupo tayari kufanya hivyo? na wewe pia unafungiwa!!kilichopo ni kupiga mpira tu japo kwa mpira wetu huu ni ngumu kumfunga ugandaNjia rahisi ni kununua gemu ya Uganda
cape vedre akishinda tu hiyo mechi yake hata kwa bao moja tu sisi hata tushinde mabao 100!!hatuendi kwani wanachoangalia ni HEAD TO HEADWadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya kulalamika. Ahsanteni.
Tupige la NapeWadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya kulalamika. Ahsanteni.
Tumuite Jecha, Nape na January Marope wanamaliza kaziWapige ganzi wachezaji wa Uganda na Ndege ya Lesoto ihujumiwe wasiende Cape Verde. Tutumie mfano wa kukosa hoja ukatumia ubabe.
Kwani Cape Verde si ana point 4 sisi tuna point 5...mechi ya mwisho Cape verde akishinda anakuwa na 7 na sisi tukishinda tutakuwa na 8.cape vedre akishinda tu hiyo mechi yake hata kwa bao moja tu sisi hata tushinde mabao 100!!hatuendi kwani wanachoangalia ni HEAD TO HEAD