Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
1. Baada ya shule na vyuo kufungwa wanafunzi walitawanyika kila Kona ya nchi, tukifungua lazima wanafunzi pia watoke kila Kona kurejea mashuleni.
2. Kama tukakubaliana kwenye hoja ya kwanza Basi, wanaporejea mashuleni na vyuoni wafanyiwe vipimo kujua Nani ana maambukizi Nani Hana.
3.Kufungua vyuo na shule Ni hoja nzuri ila kuwalinda wanafunzi na maambukizi ni Jambo kubwa zaidi.
Moja ya factor iliyochangia itali kupata vifo vingi ni mfumo wa maisha, watu wengi walikuwa wanaishi hostel hasa wazee waliostaafu kuhudumu katika dini....na sisi kwetu tutambue wanafunzi wetu kuweka umbali Kati ya mmoja na mwingine hatuwezi kwa maana miundombinu yetu haitoshi.
Tutambue vyuo na shule hazina facility za kujifukiza wala madawa, lakini pia wanafunzi wanaathirika zaidi kisaikologia pale wanapobaini yupo chumba kimoja na mgonjwa. Tuwajenge kisaikologia.
Mwisho, tunalojukumu lakulinda uhai wa watu wetu, mtu akifariki hawezi kurudi Tena na ndio maana hata watoto wa viongozi hawataruhusiwa kurejea shule kwa mtindo wa watoto wa wakukulima.
Wanasoma mazingira ambayo nimazuri na yanavitendea kazi vizuri, wanapata huduma nzuri na wanalindwa wasiambukizwe.
TUWALINDE WATOTO WA WAKULIMA AU TUWACHANGANYE WATOTO WETU VIGOGO NA WATOTO WA WAKULIMA KUWAJENGEA IMANI KWAMBA WOTE TUPO SAWA MBELE YA CORONA.