Nini kifanyike kuboresha makazi ya Watanzania vijijini na hata mijini?

Jibu ni rahisi sana kuza uchumu wa mtu moja moja. Lakini njia ya kukuza uchumu wa mtu moja moja kwa Tanzania ni jambo la kufikirika. Kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika ili jambo hilo lifanikiwe.
 
Vyama vya ushirika vinavyosimamia manunuzi na mauzo ya wakulima vishirikiane na maduka ya ujenzi. Waangalie jinsi watakavyokopesha wakulima vifaa vya ujenzi au kukatwa 20% ya mauzo kwaajili ya ujenzi kama mnavyokubaliana.
 
Lakini pia ninachokiona mimi ni utayari wa wananchi wenyewe kujua kipi ni kizuri na kipi ni kibaya, asilimia kubwa ya Watanzania wanaishi katika mazingira hayo na wameridhika kabisa, yani kwa kifupi ni kwamba kulingana na maana yao ya maendeleo huo ndo mtizamo wao, hawaoni tofauti ya kukaa humo na nyumba za tofauti na hizo. Nadhani asilimia kubwa ndo mazingira walikulia so wanaona hakuna haja ya maisha mengine tofauti na hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom