Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Wakuu nimepitia kwenye Account ya Twitter ya Nikki Wa Pili ambaye ni Msanii wa kundi la Weusi.
Msanii huyu anasifika kuwa ni msomi ambaye kwa sasa ni mwanafunzi wa Udaktari wa Falsafa (PhD) katika chuo kikuu cha Dar es Salaam lakini Kumbe naye hajui Kuandika vizuri hata kiswahili kupitia Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii (Twitter) ameweza kuandika Ujumbe ambao hausomeki vizuri ukizingatia kuwa yeye ni kioo cha Jamii.