Nini kifanyike ili watu wasikatishe hovyo barabara na wasipite zebra wakikimbia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kifanyike ili watu wasikatishe hovyo barabara na wasipite zebra wakikimbia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Dec 30, 2010.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu katika JF tumeona malanyingi raia wa Tanzania hukatisha hovyo barabarani hata sehemu ambazo zipo karibu kabisa na zebra (sehemu ambayo ni rasmi kwa waenda kwa miguu kukatisha barabara). Pia inapotokea watu wanapita zebra pia watu hukimbia utafikiri siyo sehemu yao maalumu kwa wao kukatisha. naomba mchango wa mawazo je? kwanini hali ipo hivyo na nini kifanyike kurekebisha hali hiyo?
   
Loading...