Nini kifanyike, ili hii tabia ya kuachwa achwa iishe?

Familia ilikua inaninyanyasa Sana,
Nikiwa na mtu akimjua uyo mwanamke wangu, akanisemea kwa ndugu.

Uyo mwanamke atafanyiwa visa mpk ataniacha mwnyw hata Kama bado ananipenda.

Ndo mhuni mmoja kapata wazo,
uyu nae nimchafue TU tuachane ili niwe free

Ilifikia mahali wadada wananikataa kumhofia mama angu na dada zangu.
Lakini pond si tayari una mke na huyo mchep na mdogo wake jamani still unaendelea kuwaoea as usual!!!?????🙆🙆🙆!!
 
Back
Top Bottom