Nini kazi ya mpambe wa rais? lini anakaa na familia yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kazi ya mpambe wa rais? lini anakaa na familia yake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikiolakufa, May 6, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna Askari mmoja huwa anasimama nyuma ya rais nadhani ana cheo cha colonel hivi nini hasa kazi ya huyu bwana? Je ni kumbebea mafaili ya speech rais? lini anapumzika au kukaa na familia yake? au ni mlinzi? kama mlinzi je anabeba silaha? Mbona marais wa mataifa makubwa kama marekani hawana mtu huyu ni nini hasa rationale ya kuwa na mtu huyu? Mbona rais anapokumbwa na kadhia mbalimbali huwa sioni akimsaidia? kama alivyopiga mweleka jangwani?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Duuuuuuuu +anakaa pale ikulu huyo bodyguard?
   
 3. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu unauhakika ni mlinzi? au na wewe unajiuliza kama mimi? anayejua anifahamishe
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  anakaa kambi ya jeshi ya kule mbele ya ubungo kibangu karibu na makamba sec. school. Jion namwona anapita na VX taratibu arudi home.
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  mhuuuu!!!!!
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyo ni mpambe
  Kazi yake kubwa ni kumpamba Mh. sana sehemu zote aonekane yuko na ulinzi, pamoja na kumsaidia kubeba mafaili, kumuwekea kiti vizuri, kufungua malngo wa gari wakati mwingine, kumfunga mkanda ndani ya gari na vijishughuli kama hivyo, bwa shee
   
 7. Sumve 2015

  Sumve 2015 JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2015
  Joined: Jun 16, 2013
  Messages: 2,215
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Mwenye uelewa juu ya hili anisaidie wakuu.
   
Loading...