Nini kazi ya mabalozi walioko nje ya nchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kazi ya mabalozi walioko nje ya nchi.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BLUE BALAA, Jun 1, 2012.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama utamaduni tuna embassies katika nchi nyingi. Na nje ya Balozi kunakuwa na Balozi mdogo, Councillor na office staff. Binafsi sijui hasa hawa mabalozi huwa wanafanyaga nini? Hivi baada ya kumaliza muda wao huwa wanafanyiwa performance review?????.

  Maana yake huwa tunasikiaga kwenye vyombo vya habari wakati wameteuliwa kisha hatuwasikii tena mpaka wakiwa wamemaliza muda wao.

  Mimi nina shida kidogo, lazima kwanza wenyewe wawe na tabia ya kujisuta - self appraisal, kwamba nimekaa huu muda JE HAVE I ARCHIVED? Nina wasiwasi hawa ni ma DC wetu wa nga'mbo!!!!
   
 2. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,118
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Balozi zetu zinamaliza pesa hazina. Hakuna kazi wanafanya huko..Walimu, madaktari wanashindwa kulipwa mishahara kwa sababu ya matumizi mabovu kama haya yasiyo ya msingi. Ubalozi una watu lukuki wanafanya nini? halafu mkuu akitembelea hizo naye anaongozana na watu lukuki sasa si bora mkulu angekuwa anaenda mwenyewe akifika huko si kuna balozi na wafanyakazi walipashwa wafanye yote kubana matumizi...ukiangalia hata wengi waliopo kwenye hizo balozi wamewekwa kwa kujuana..nchi hii ina vituko sana. Hazina hakuna pesa lakini watu wanatanua
   
 3. Mziba

  Mziba JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pakawa punguza ukali. OhmyGawd! usitupe mti na jongoo. Nakubali kua Mkulu apunguze wapambe anapokwenda nje. Lakini mi nadhani mabolozi na wasaidizi wake ni muhimu, kwa sababu ya viza na kwa ajili watanzania wanaoishi au kusafiri huko.
  Blue Balaa, nakubaliana na pointi yako, wawe wana jiuliza what have i achieved all this time. Au wawe wanaulizwa. na hizo habari ziwe public. nafkiri Itawapa changamoto.
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kazi yao kutuwakilisha huko majuu.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,135
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  1.Kutoa Visa
  2.Kutangaza nchi usika hasa kiutalii na uwekezaji
  3.Kusaidia Raia wake wakiwa nje incase of matatizo

  NB:2&3 Hayafanyiki
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,859
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Mtanzania ukienda Ubalozini wanakuona kama umeenda kuwasumbua na mara nyingi wanakupuuza,, shida yako haisikilizwi, unless uwe na tabia ya kujichekesha chekesha na kujipendekeza kwao..
   
 7. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  And no 2&3 are the core functions!!!!!
   
 8. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  In which aspect!!!!
   
 9. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 988
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu umejibu sawa kufuatia swali lilivyoulizwa - nini kazi zao sasa kama mtoa mada anauliza kwa vili haoni wanachofanya jibu ni tofauti na wengi wamejielekeza huko kwani tunafahamu kuwa ni wawakilishi wetu shida ni kama tunaona wkituwakilisha ipasavyo

  Mfano wa kuona kuwa raia wanaotembelea nchi hizo wanawasumbua linanikumbusha miaka ya nyuma Watanazania waishio Kenya walikuwa wanasumbuliwa na walipokwenda ubalozi wetu kutaka msaada wakaulizwa kama watu hwawataki nchini kwao mnafuata nini?
  Kwa jibu hili unajiuliza hivi huyu anajua anachotakiwa kufanya akiwa kama ofisa wa ubalozi kweli?
   
Loading...