Nini kamati kuu ya CHADEMA itaamua kesho kutwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kamati kuu ya CHADEMA itaamua kesho kutwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Du Bois ideas, Jul 7, 2011.

 1. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanachama na wapenzi wa CDM, tafadari nisaidieni ni lini kamati kuu ya CDM inakaa, ili tujue maazimio yatakayofikiwa kwa Madiwani wa Arusha waliosaliti chama na Shibuda? Naomba kufahamu
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Baada ya bunge linaloendelea sasa kumalizika. Kimbembe na ndipo ntawakumbushia nyuzi yangu moja humu. Labda mods waifute.
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  watu wengine ugreat thinkers umepitiliza mpaka wamekuwa machizi!
   
 4. T

  Triple DDD Senior Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Subira ya vuta heri, itakuwa shwari, Mambo yatakuwa barabara.

  Hakuna litakaloharibika tumejipanga, msiogopoe na hakuna uchaguzi
  ila hatua za kinidhamu zitachukuliwa.
   
 5. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo poa Triple DDD ila miswaamini sana hao watu. Akutukanaye mchana ................................................?!!!!!
   
 6. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  KAMATI Kuu (CC) ya Chadema inakutana keshokutwa Ijumaa Dodoma kujadili pamoja na mambo mengine,

  1. ripoti ya mgogoro ulioibuka kati ya madiwani wa chama hicho na CCM kuhusu Meya wa Jiji la Arusha
  2. maadili ndani ya chama
  3. kupokea taarifa ya utendaji wa chama na hali ya kisiasa ndani ya chama na nchini kwa jumla
  4. ..........................
  5. Mengineyo.........sakata la Shibuda?

  Kauli ya Dr. Slaa

  "Tuna ajenda mbalimbali katika kikao hicho cha Ijumaa wiki hii, kwanza ni kikao cha kawaida si maalumu, watu wasifikiri tunakaa kwa suala moja, lakini moja ya ajenda ni kujadili suala mgogoro wa Meya wa na Madiwani wa Arusha kwa mapana yake na kisha tutawapa taarifa,"

  Alipoulizwa kama watajadili suala la Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda, Slaa alisema

  "Hilo suala sinalo mezani kwangu, hivyo hatuwezi kujadili kitu tusichonacho, ila Katiba iko wazi, kuna mamlaka husika ya nidhamu, kamati ya wabunge wa Chadema ndiyo hasa inashughulika na suala hilo, kwanza si sisi, likiletwa kwangu sawa, ila kabla sina cha kusema," alisisitiza Dk Slaa.
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Tunaisubiri kwa hamu sana report kuhusu sakata la meya na madiwani wa Arusha! Nadhani hilo ndio kubwa. Vilevile ratiba ya maandamano kanda ya kati, kusini, mashariki na kaskazini. Tunahamu kubwa ya kuwaona na kuwasikia viongozi hao katika ujenzi wa chama!
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kazaneni kujenga chama na msilete maswala ya unafiki,tunataka chama makini.
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hili nalo gamba nashauri kamati kuu ya CDM ije na siku 90 za Shibuda.
   
 10. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hawa majamaa wanajaribu kutufungua macho.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Vipi sakata la Kumfukuza Zitto na Shibuda halijadiliwi?
   
 12. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Nawatakia kila kheri kwenye mkutano wenu. Sisitizeni maadili ya viongozi, hekima na uvumilivu. Imarisheni kitengo cha habari na kuweni na msemaji makini wa chama sio swala la kila mtu kuropoka. Jifunzeni ku-debate mada nzito kabla ya kuzimwaga kwenye jamii. Elwesheni wabunge wapya jinsi ya kufanya kazi. Hadhi ya kiongozi ni pamoja na kuwa kioo cha jamii, elimisheni maana ya kuwa na nidhamu ndani na nje ya chama kwani matendo ya kiongozi yanaathiri uongozi wake na taasisi husika nje na ndani.

  Jitahidi kuelewa kazi kubwa ni kukuza chama kuliko kugombania vyeo, ugomvi wa vyeo mnaweza kukosa wote, kwani ugomvi unadhoofisha chama. Watambueni wasaliti mapema na muwe wakweli kuwaambia asubuhi msisubiri usiku.

  Hakikisheni mnaweka mkakati wa kutompa mtu nafasi ya kugombea nafasi yeyote ya chama , ubunge au udiwani kama hana walau miaka miwili ndani ya chama, hii itasaidia kupunguza mamluki kutoka nje wenye tamaa ya pay check badala ya kuhudumia watu.

  Jitahidi kuelewana ndani, na kama mna tofauti tafutine jinsi ya kuzitatua ndani. kauli zenu zinazoufisha chama hasa kauli hasi na za ugomvi. wekeni rekodi za matukio na matamshi, matendo na uwajibikaji wa kila kiongozi, diwani, na mbunge wa chama ili kuweza kumtathimini pale anapotaka kukwea cheo ndani ya chama asije sema anaonewa.

  Jengeni chama kwa nia ya kumkomboa mtanzania sio kufikisha nia za ubinafsi, cheo, au utajiri wa mtu. Nawatakia mkutano mwema na muwe na afya na hekima ya kuwatumikia watanzania ambao wengi wao ni masikini na wanawategemea ninyi kuwatetea.

  Ni mimi

  Chief Mkwawa wa Kalenga.
   
 13. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwani Zitto ana tatizo gani ninachojua labda kunaweza kuwa na ajenda ya Shibuda.
   
 14. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wel said ningekuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na wajumbe wa kamati ningewatumia ujumbe huu
  lakini naamini kuna baadhi huwa wanatembelea humu big up Chief.
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ni waoga wa kuchukua maamuzi mazito, wataendelea tu kuwakumbatia Zito na Shibuda ingawa ndiyo wanaoongoza kuharibu chama. Hivi kwanini hamchukui ujasiri wa CCM?
   
 16. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kazi njema CC, tupo pamoja nanvyi
   
 17. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ujasiri wa ccm?upi huo mkuu?
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  mwenye macho haambiwi tazama
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Rostam hajawajibishwa na mtu kajiuzulu mwenyewe, kama CCM waliona ana makosa kwanini wampe muda wa kuondoka kama si woga wa CCM ni nini.
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Heee!!!!! Kazi ya CDM ni hii saa nashanga kwamba hakuna komplihensivu ratiba? Slaa jivue gamba ama tupe ratiba ya maandamano ya miaka mitano.
   
Loading...