Nini jukumu la wastaafu uraisi Tanzania?

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
HAKIKA ..TULITEGEMEA HAZINA YA VIONGOZI WASTAAFU NA SIO MIZIGO!.....VIONGOZI WASTAAFU WALITAKIWA KUWA HAZINA YA KUILINDA KATIBA YA NCHI YETU NA KUWATETEA WANANCHI KULINDA HAKI ZA RAIA NA KUHAMASISHA UTAWALA WA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU NCHINI!......NDIO MMAANA KODI ZA WATANZANIA ZINATUMIKA KUWAENZI NA KUWATUNZA!


Charles Mmbaga Nakubali usemi huo kwa maana wkt Mwinyi akiwa madarakani,Kambarage hakunyamaza alipoona mambo hayaendi sawa,lkn leo wastaafu wetu hawana ht ustaarabu wao ndiyo kwanza wanasifa yakutukana bdl ya hekima.

Gilbert Phillip Kutta
Na toka Baba wa taifa atuachie hawa wastaafu sijaona kazi yao zaidi ya kusaidia kutuongezea wastaafu wengine ccm!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
JK alishamwambia JPM kuwa wastaafu kazi yao inaonekana pale kipindi cha uchaguzi.
JPM akawa anafurahia hakujua JK anamaanisha nini na onyo kwa ubishi wake.
 
Back
Top Bottom