Nini huwatokea wadada wa aina hii

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Hivi wale wadada ambao ukiwatongoza wanakukataa kata kata tena anaweza hata kukuaminisha siwezi kundate na mtu kama wewe maisha yangu lakini ukiwakaushia na wewe ukaendelea na harakati zako muda wanakuja kukutafta tena afu yeye anakua serious zaidi hua kinakua kimewatokea nini maana mimi hua nashangaa tu
 
Ni suala la kawaida sana kibinadamu. Na ndiyo sifa ya binadamu hii. Si kwenye mahusiano tu bali hata mambo mengine. Hujawahi kujikuta kuna chakula ulikuwa unakipenda zama zile, leo hutaki hata kukisikia au kinyume chake? Au vazi unaliona tu ,hulitaki--kisha unakuja kulewa nalo hadi unasimulia ilivyokuwa awali. Tunachokosea (wote) huwa ni lugha ya kumfikishia ujumbe mwenzako. Waliobuni msemo "weka akiba ya maneno" hawakukosea.

So, hii ni sifa ya kibinaadamu kabisa, tunakosea lugha tu. Kama hivyo, mwingine anaongea shombo kinoma wakati anakutosa asijue kesho anaweza badili hisia.

Note
Ni suala tete kidogo. Mtu anaweza kukukataa kwa sababu hajakupenda kweli na hisia zikaja badilika akakupenda mpaka akikuona anabanwa na haja. Wengine anakupenda, isipokuwa kwa wakati huo ana sababu za kukukataa (ana mtu mwingine, hayupo tayari kuwa kwenye mahusiano wakati huo, masuala ya kifamilia/kijamii n.k.). Mwingine yupo kimaslahi tu. Wakati anakukataa anakuona huna lolote, kisha anakwenda ajuako anapigwa bakora na dunia kisha anarudi kwako wala si kimapenzi bali kimaslahi, yawe ya kiuchumi,kisaikolojia ama kijamii.

Kama umenielewa, hakuna jibu moja. Inabidi ufanye utafiti wa muda kujiridhisha
 
kama nakuona ulivyoshangaa,,,pole mkuu
 
asante sana, kama mimi zamani nilikuwa napenda sana wali maharage ila kwa sasa siupendi kabisaaaaa japo nakula.
 
Sisi watongozaji wa enzi za Mwalimu hao ndo walitupa sifa kitaa. Haikuwa tunashangaa maana wote walikuwa hivyo! Hawa wa kwenu wa namba ya simu tu umemaliza au chipsi kuku hawakwepo sisi Sasa ndo tunawashangaa. Hapo mdau unapimwa u serious wako msipende kula Mambo kimasikhara tuu
 
watu kama muda
hubadilika kila wakati

si umeona waliosema korona haipo leo wanatulazimisha tuchome chanjo
 
Ni suala la kawaida sana kibinadamu. Na ndiyo sifa ya binadamu hii. Si kwenye mahusiano tu bali hata mambo mengine. Hujawahi kujikuta kuna chakula ulikuwa unakipenda zama zile, leo hutaki hata kukisikia au kinyume chake? Au vazi unaliona tu ,hulitaki--kisha unakuja kulewa nalo hadi unasimulia ilivyokuwa awali. Tunachokosea (wote) huwa ni lugha ya kumfikishia ujumbe mwenzako. Waliobuni msemo "weka akiba ya maneno" hawakukosea.

So, hii ni sifa ya kibinaadamu kabisa, tunakosea lugha tu. Kama hivyo, mwingine anaongea shombo kinoma wakati anakutosa asijue kesho anaweza badili hisia.

Note
Ni suala tete kidogo. Mtu anaweza kukukataa kwa sababu hajakupenda kweli na hisia zikaja badilika akakupenda mpaka akikuona anabanwa na haja. Wengine anakupenda, isipokuwa kwa wakati huo ana sababu za kukukataa (ana mtu mwingine, hayupo tayari kuwa kwenye mahusiano wakati huo, masuala ya kifamilia/kijamii n.k.). Mwingine yupo kimaslahi tu. Wakati anakukataa anakuona huna lolote, kisha anakwenda ajuako anapigwa bakora na dunia kisha anarudi kwako wala si kimapenzi bali kimaslahi, yawe ya kiuchumi,kisaikolojia ama kijamii.

Kama umenielewa, hakuna jibu moja. Inabidi ufanye utafiti wa muda kujiridhisha
Nimekupata mkuu
 
Hapo anakua anakuhitaji akutumie kama tairi la spea.
Kwasababu mimi mwanume haina shida nalitimia tu maana najua hata ikitokea bahati mbaya yeye ndio ana risk ya kupata impact kubwa kuliko mimi i mean mimi siwez kubeba mimba labda anipe UKIMWI kama anao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom