jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,400
jamaa yangu anategemea kufunga ndoa miezi ya hivi karibuni lakini hajui nini huwa kinafanyika siku za harmon zaidi ya tendo la ndoa na kama ni mazungumzo je ni mazungumzo gani yanafaa kuongewa kipindi hicho na siku ngapi ni nzuri kwa ajili ya kukaa hanmon..wanajamvi mnaweza kutoa mafundisho yenu hapa nipate la kumpa jama yangu hivi karibuni nimeweza kumpa kidogo niliyokuwa nayajua ..nahitasji zaidi..