Nini huwa sababu kuu za kuachwa au kusalitiwa na mpenzi, mchumba au mke wa ndoa?

Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lakini unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
Very easy question:

- KUAMUA

Pamoja na commitment watu wanawekeana ikiwemo NDOA, still, ku cheat ama kuto ku cheat ni uamuzi binafsi wa mtu, haijalishi kitu kingine chochote kile; haijalishi hela, zawadi, ugomvi, upendo, mapenzi wala afya ya mtu ... cheating is a decision someone make.

Mtu akiamua ku cheat ana cheat tu as that is his/her own decision, hamna mtu anaweza mpangia mtu jinsi ya kutumia mwili/kiungo chake.
 
Back
Top Bottom