Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 616
- 854
Wakuu tukararibie tupeane mawazo!
Nimejiuliza sana huwa wengi wengi hufanya tendo la ndoa/ngono na wenza wetu lakn pale tunapomaliza huwa tunafanya nini na wenza watu?
Watu wa saikolojia ya mahusiano wanadai kuwa "MWANAMKE humpenda na kumnyenyekea zaid Mwanaume mwenye kumaliza tendo nae kumuweka karbu zaid baada tu ya tendo".
Pia wanasema "Muda mzuri kwa MWANAUME kumjua Mwanamke ameridhika naye na anampenda na kumthamini yeye na si mwanaume mwingine basi ni mara tu baada ya tendo lile" kitu ambacho asilimia kubwa ya wanaume hatuifanyi bali humaliza na kuweka mambo mengine kichwani.
Je huwa tunafanya nini mara tu baada ya kumaliza tendo?
Nawasilisha.