Nini hiki na kinatumikaje?

Nov 25, 2020
73
170
IMG_20210912_122859.jpg
 
Nafikiri kama una headphones na hicho chombo kinatumika kama wireless headphones

Tafuta headphone zake na mchezo umeisha

Ila kama hauna headphone haitakuwa na faida kwako
 
Jamaa kumbe ameuliza huku akiwa na jibu lake maalumu analongojea... maana naona watu wanajibu anawahainisha vikali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom