Nini Hatma ya Zanzibar

Baba Watoto

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
393
278
Wanajamvi, heri ya mwaka mpya, ikiwa ni uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2016, nafikiri ni vyema tukaanzia nyumbani bila kukaa kwenye chama chochote cha siasa, bali kujadili kama wachunguzi/ wachambuzi wa mambo huru.
Kumekua na maneno na shughuli nyingi sana wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi kwa taifa la Tanzania, kiasi pia..
 
Back
Top Bottom