Salaam,
Ndugu zangu nilikuwa nataka kujua kisheria mbunge ambaye amefunguliwa kesi ya kupinga matokeo anaendelea kuwa muwakilishi wa wananchi au jimbo linakuwa halina muwakilishi hadi kesi itakapoisha.
Naombeni wenye ufahamu watujuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.