Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Wakati tukiwa tumebakiza muda mchache kuelekea uchaguzi 2020 wa ubunge, udiwani na urais hadi sasa vyama vya upinzani na wapinzani sijui wanaelekea wapi.
Kila nikitizama asilimia 50 ya wapiga kura kupitia upinzani wameshakata tamaa na hawamini kabisa kama kweli 2020 upinzani wataweza kushinda maana zile points na vipengele maalumu vya kuwafanya wapinzani kuishinda CCM kama ilivyo kenya hadi sasa havijaonekana.
Hadi hivi sasa bado sijaona agenda ambayo upinzani wanayoweza kuitumia ili kuwafanya wapiga kura wawachague kama ilivyo kenya ambapo wapinzani kupitia mzee Odinga waliandaa agenda na mfumo wa kuwafanya wakenya wawachague hata kama hawajaridhika na uchaguzi wanajua ni wapi pakuanzia na wapi pakumalizia ndo maana uchaguzi uliweza kurudiwaaaa .
Huku kwetu wapinzani hadi sasa bado sijaona agenda au points muhimu zitazoweza kuwafanya watu kuwachagua tena wapinzani hii ikiwa tofauti na kenya wenzetu kule walipigania vipengelee muhimu na points muhimu ambazo zilimfanya Odinga apigiwe kura kwa wingi.
Hivyo kama hali ni hii upinzani msipojipanga mwaka huu mwaka ujao mtaanguka wote .