Nini hatma ya vyama vya upinzani na upinzani kuelekea uchaguzi mkuu 2020?

C Programming

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
2,872
Points
2,000

C Programming

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
2,872 2,000
Wakati tukiwa tumebakiza muda mchache kuelekea uchaguzi 2020 wa ubunge, udiwani na urais hadi sasa vyama vya upinzani na wapinzani sijui wanaelekea wapi.

Kila nikitizama asilimia 50 ya wapiga kura kupitia upinzani wameshakata tamaa na hawamini kabisa kama kweli 2020 upinzani wataweza kushinda maana zile points na vipengele maalumu vya kuwafanya wapinzani kuishinda CCM kama ilivyo kenya hadi sasa havijaonekana.

Hadi hivi sasa bado sijaona agenda ambayo upinzani wanayoweza kuitumia ili kuwafanya wapiga kura wawachague kama ilivyo kenya ambapo wapinzani kupitia mzee Odinga waliandaa agenda na mfumo wa kuwafanya wakenya wawachague hata kama hawajaridhika na uchaguzi wanajua ni wapi pakuanzia na wapi pakumalizia ndo maana uchaguzi uliweza kurudiwaaaa .

Huku kwetu wapinzani hadi sasa bado sijaona agenda au points muhimu zitazoweza kuwafanya watu kuwachagua tena wapinzani hii ikiwa tofauti na kenya wenzetu kule walipigania vipengelee muhimu na points muhimu ambazo zilimfanya Odinga apigiwe kura kwa wingi.

Hivyo kama hali ni hii upinzani msipojipanga mwaka huu mwaka ujao mtaanguka wote .
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
14,038
Points
2,000

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
14,038 2,000
sahihisho:uchaguzi wa udiwani ni 2019
kuhusu uchaguzi bongo ni kwamba akina mbowe wanazingua tu sababu wanajua kuingia kwenye uchaguzi na tume hii ni sawa na kupoteza muda tu..watashiriki uchaguzi as long as ruzuku na misaada ya wahisani inaingia mwisho wa siku..
kama tunataka kukiondoa chama chakavu tujipange na kusonga wenyewe na sio kuwategemea akina mbowe..
somehow masha yuko sahihi kusema wapinzani hawana nia ya kushika dola
 
C Programming

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
2,872
Points
2,000

C Programming

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
2,872 2,000
sahihisho:uchaguzi wa udiwani ni 2019
kuhusu uchaguzi bongo ni kwamba akina mbowe wanazingua tu sababu wanajua kuingia kwenye uchaguzi na tume hii ni sawa na kupoteza muda tu..watashiriki uchaguzi as long as ruzuku na misaada ya wahisani inaingia mwisho wa siku..
kama tunataka kukiondoa chama chakavu tujipange na kusonga wenyewe na sio kuwategemea akina mbowe..
somehow masha yuko sahihi kusema wapinzani hawana nia ya kushika dola
mimi mwenyewe nimemuelewa sana mashaaa kiukweli kabisaa
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,443
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,443 2,000
mimi mwenyewe nimemuelewa sana mashaaa kiukweli kabisaa
Unaweza ukawa una hoja, lakini mkuu wa awamu hii amedhihirisha pasi na shaka hawezi siasa za ushindani. Anachokifanya ni kulazimisha kila mtu amuone anakubalika, na kupandikiza uoga kwa washindani wake. Vyombe vyote vya kutoa haki navyo vinafanya kumridhisha yeye. Na kama kuna uchaguzi hiyo 2020 ni kupoteza fedha za walipa kodi.
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
13,531
Points
2,000

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
13,531 2,000
Hii unaiona kwa sababu tangu Fulani aingie amewafunga kamba mabondia mikono halafu yy ndo anapiga tu.
Weka vitu ulingoni sawa uone.

Tena na tume ni yao unategemea nn?
Me nakwambia ikitokea tume ya USA ikasimamia uchaguzi ccm inaachwa mbali sanaaaa,watu wana hali ngumu sn mtaani.Halafu et uchumi unakua.Bado uonevu na mengine meeengi yalofanywa.

AMINI KABISA NAKWAMBIA.
 
WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
2,056
Points
2,000

WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
2,056 2,000
Wakati tukiwa tumebakiza muda mchache kuelekea uchaguzi 2020 wa ubunge, udiwani na urais hadi sasa vyama vya upinzani na wapinzani sijui wanaelekea wapi.

Kila nikitizama asilimia 50 ya wapiga kura kupitia upinzani wameshakata tamaa na hawamini kabisa kama kweli 2020 upinzani wataweza kushinda maana zile points na vipengele maalumu vya kuwafanya wapinzani kuishinda CCM kama ilivyo kenya hadi sasa havijaonekana.

Hadi hivi sasa bado sijaona agenda ambayo upinzani wanayoweza kuitumia ili kuwafanya wapiga kura wawachague kama ilivyo kenya ambapo wapinzani kupitia mzee Odinga waliandaa agenda na mfumo wa kuwafanya wakenya wawachague hata kama hawajaridhika na uchaguzi wanajua ni wapi pakuanzia na wapi pakumalizia ndo maana uchaguzi uliweza kurudiwaaaa .

Huku kwetu wapinzani hadi sasa bado sijaona agenda au points muhimu zitazoweza kuwafanya watu kuwachagua tena wapinzani hii ikiwa tofauti na kenya wenzetu kule walipigania vipengelee muhimu na points muhimu ambazo zilimfanya Odinga apigiwe kura kwa wingi.

Hivyo kama hali ni hii upinzani msipojipanga mwaka huu mwaka ujao mtaanguka wote .
Kwani wewe ni nani unataka wapinani wakupe mipango yao? Au ni wewe bro ni mpinzani umeishiwa mpango? Anza na kumtukana Magufuli mwite uchwara.
 
WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
2,056
Points
2,000

WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
2,056 2,000
Hii unaiona kwa sababu tangu Fulani aingie amewafunga kamba mabondia mikono halafu yy ndo anapiga tu.
Weka vitu ulingoni sawa uone.

Tena na tume ni yao unategemea nn?
Me nakwambia ikitokea tume ya USA ikasimamia uchaguzi ccm inaachwa mbali sanaaaa,watu wana hali ngumu sn mtaani.Halafu et uchumi unakua.Bado uonevu na mengine meeengi yalofanywa.

AMINI KABISA NAKWAMBIA.
Itatokeaje tume ya Tanzani ikasimamie USA? Unaota ndoto? Pole
 
Forum statistics

Threads 1,381,472
Members 526,110
Posts 33,801,610
Top