Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Apr 27, 2006
26,588
10,374
Je ni kweli upinzani upo Tanzania? Mwananchi unaweza kujibu na affirmative answer kuwa upinzani Tanzania upo, lakini their role is not being felt very much due to number of reasons, mojawapo ikiwa ni insolvency. They are not being suppressed by any force or political pressure group. Lakini, hivi vyama wielding their respective flags and fully registered, are facing vikwazo vingi ambavyo ni self-hurdles to the extent kwamba they have failed to emancipate themselves from such man-made hurdles!

Historia ya bongo inatuambia kuwa miaka michache to the independence of Tanganyika, kulikuwa na strong na true opposition parties, au upinzani. Kulikuwa na (UTP)-United Tanganyika Party, na pia African National Congress - (ANC), kikiongozwa na the most courageous political leader Zuberi Mtemvuu. The UTP, stood for the interests of the whites, including some well to do Asians and even some highly placed Africans, walikuwa ni wanachama wa hiki chama! Hawa Waa-Afrika walikuwa wanadanganywa na ma-DC huko kwenye rural settings na wale wa waliokuwa kwenye Civil Service walikuwa pressured by the so called Chief Secretary.

Kuonyesha how strong na influential opposition parties were wakati wa enzi hizo, kuna mfano wa safari ya Zuberi Mtevu wa ANC, alivyofunga safari kwenda kule UNO, yaani UN ya leo kule New York, ambako alikwenda ku-kuhutubia Baraza la Usalama la Umoja huo wa Dunia, ku-counter madai ya Mwalimu Nyerere ya uhuru wa nchi yetu. Yaani kupinga maneno ya Mwalimu katika kudai uhuru wetu!Sasa kama chama kama cha ANC, bongo katika miaka ya 1950s, kwa ajili ya just cause, kwa nini vyama vyetu vya upinzani leo Tanzania vimeshindwa kabisaa ku-mobilize themselves katika a stronger party that can be a threat to CCM?

Hebu fikiria kuwa leo Tanzania tuna vyama vya upinzani 23, ambavyo ni full officially registered, na ambavyo pia vinaongozwa na by credible people with acceptable educational qualifications?
 
Mzee ES,
habari za leo, naamini kuwa uliyoyaandika humu ama ni swali ama ni mawazo yako,natoa hoja kwa lengo la kuelimisha ama kuweka historia iwe sahihi zaidi,

Kusema kwamba vyama vya upinzani Tanzania ni 23 sio sahihi kwani vipo 18 na kimoja kimepewa usajili wa muda.

Kusema kuwa vyama vyote vya upinzani Tanzania vinaendeshwa na credible people sio kweli kwani ama unaposema credible person tafsiri yako ni mtu ambaye anafahamika ama ni mtu ambaye ameweza kuanzisha chama cha siasa huyo unamwona kua ni credible person,kwani ukiangalia kwa undani kuna vyam ambavyo vipo na vilianzishwa kw nguvu za dola ili paonekane kuwa Tanzania napo kuna vyama vya upinzani na sio kwamba vipo kwa ajili ya kufanya kazi ya upinzani.

Pili kuna vyama vimeanzishwa na baadhi ya watawala kwa malengo yao na ukiangalia historia ya uchaguzi mkuu uliopita utaweza kuliona hiloo kwani kunavyama viliweza kuwa na resources kwa mshangao wa wengi hawajulikani walizitoa wapi kwani uwezo wao unaj7likana kwa walio wengi,

Ningekuelewa kama ungeuliza ni kwa nini CHADEMA,CUF na labda tlp na nccr wameshindwa kujimobilize na kuleta upinzani wenye nguvu,hapo ningeiona hoja lakini kuviweka vyote kwenye kapu moja hapo inaniwia vigumu kuchangia,

Kwani hujui kwamba vyama vingine vipo pale kwa ajili ya kualikwa kwenye semina za REDET,UNDP,NGO mbalimbali ili kwenda kupewa posho za vikao?

Nirudi kwenuye swali lako la msingi kwa nini vyama vya upinzani vimeshindwa kuleta impacts kwenye piltics za Tanzania,

1,N kuwa na sheria mbovu.Hapa nazungumzia sheria za kufanya siasa hapa Tanzania kwani utakuta kuwa viongozi wa serikali wanafanya kazi za kisiasa wakati wanatumia rasilmali za watanzania wote, kwa mfano Kikwete kuwa mkoani Kigoma na kutumia wadhifa wake wa urais kufanya kazi za chama chake hilo linatokana na sheria mbovu ambazo hazigawi kati ya majukumu ya kichama na yale ya kiserikali.

2.Rasilmali ,vyama vya upinzani vingi havina rasilimali za kutosha na hili linaanzia kwenye rasilimali watu na fedha kwani serikali iliamua kwa makusudi kuwazuia watu wenye uwezo kujiunga na vyama hivi kwa kuwawekea sheria na hata wengine kutishiwa na vyombo vya dola.

3.Watanzania wengi wenye uwezo ni wachafu. hapa namaanisha kuwa watu wengi ambao wanaweza kujiunga na hivi vyama na kuleta impact ya kutosha ni watu ambao ni wachafu na ndio maana wanaogopa kujiunga kwani kutokana na uchafu wao kama vile kutokulipa kodi,kufanya biashara za magendo,biashara haramu wanaogopa kujiunga kwenye vyama vya upinzani kwani wanajua kuwa CCM itawashughulikia pindi wakijiunga na upinzani na ndio maana utaliona kundi la wazee nani ya CCM pamoa na ukweli kwamba hawatendewi haki na hilo waliliona tangu harakati za uchaguzi mkuu uliopita wamekuwa hawadhubutu kuondoka na ndio maana ukiwaangalia kwnye kampeni zilizopita walikuwa wamejipanga kwa kuanzisha kampuni lao liitwalo NICO huu ulikuwa ni mkakati wa kundi la wazee ,ni waoga kwani wameshiriki kwenye michezo mingi michafu.

4.Vijana wengi ni waoga na hawana uchungu na nchi yao kwani wengi wao wanaishia kulalamika ila hawako tayari kujiunga na vyama vya upinzani ili sauti zao ziweze kusikika ila wanaishia kuona kuwa wanawezaje kupata maslahi yao na kuiacha nchi hii ikiwa wanateketea na wao wanalalamika tuu muda wote.Vijana wawe tayari kusacrifice kwa ajili ya taifa lao na wasiishie tu kulalamika kuwa nchi ama vyama vya upinzani havina uwezo ile hali hawako tayari kwenda kuvipa uwezo vyama hivyo.

5.Vyama vinaonewa na mfumo mzima kwani utakuta kuwa kila kukicha viongozi wa vyama vya upinzani waliopo maeneo ya vijijini wanabambikiziwa kesi za uwongo ilimradi waachaane na vyama husika vya upinzani na ama kujiunga na CCM ama kuwacha kufanya kazi za kisiasa.

6.Mfumo wetu wa elimu hapa nchini unawafanya watu washindwe kufikiri vizuri kwani utakuta kuwa hawafundishwi jinsi ya kufikiri ila wao wanafundishwa kukariri kila kukicha na hil linawafanya wakariri pia nchi inavyokwenda ni sawa kwni wanaishi kwa nmazoea ya kukariri wanasahau kufikiri kuwa wanajukumu la kuilinda hii nchi na mali zake,
 
Mzee Kieleweke,

Heshima mbele, kwa kawaida huwa tuna vyama 23, isipokuwa kutokana na baadhi ya vyama hivyo kuwa na matatizo mengi ya usajili, sasa tumebaki na 18, I mean sina tatizo na elimu yako, lakini bado naona hakuna responsibility ya kwa nini upinzani wameshindwa ku-deliver, ninarudia kuwa sioni mahali ambapo unakubali kushindwa kwa upinzani bongo, kitu ambacho kiko wazi kwamba ccm leo inatuchezea wabongo kwa kujua kuwa hakuna chombo serious cha kukiangalia au kuwawakilisha wananchi katika kuwafanya wao ccm wawajibike!

Point yangu kubwa ni kwamba mbona vyama vya zamani vya siasa vilikuwa vinaweza ku-deliver na nikatoa mfano mmopja wa hi storia yetu ya bongo jinsi vyama hivyo zamani vilivyokuwa serious, as opposed na vyama vyetu vya siku hizi ambavyo, some of them ninajua kuwa vipo only kwa sababu ya hii forum, yaani wapo sana hapa kuliko huko kwa wananchi, kuna wakati hata kunafanyika uchaguzi wa taifa vijijini, lakini viongozi wa baadhi ya vyama vyetu hivyo vya upinzani huwa wako hapa, kuliko mategemeo ya wengi kuwa wangekuwa huko kwenye uwanja wa mapambano!

Kabla ya upinzani kuanzishwa bongo, kulikuwa na makelele mengi toka kwa wananchi kuwa laziam vyama viruhusiwe kuanzishwa, ama sivyo hapa bongo hatutaelewana kisiasa, vitisho vilikuwa haviishi, hatimaye tukavipata hivyo vyama na matokeo hakuna! Chadema, Cuf, na TLP, unasema kuwa haviko sawa na vingine, mimi nilifikiri kuwa angalau ungesema kuwa Mtikila kuwa ndiye mpinzani tofauti na wengine, maana yeye angalau huipa taabu serikali ya ccm kuliko hao wengine? au?

I mean heshima tena mbele kwa kutoa excuse nyingi ambazo academically, some of them are convincing, lakini binafsi ninaona zote zina-fail political realities za bongo, labda kidogo Cuf, lakini hata wao pia ukiaangalai kwa undani ni sababu ya mazingira ya kijiografia ndio yanayowapa nguvu kidogo angalau kusimama kidete na ccm huko visiwani, lakini ukweli ni kwamba upinzani umetuangusha wananchi wa Tanzania completely na hakuna hope kabisaaa, sasa wananchi tufanye nini? au tuhame nchi?
 
Kaka Es:

Sikujua kama na wewe ni propagandist, nimekuzoea zaidi kama protaganist ama walau propoundist!

Maandiko yako umeyavika ukada na umeshindwa kutazama pande mbili za shilingi. Ukienda Karatu ukawasomea maneno hayo, watakunyooshea vidole vya macho kama walivyofanya kwa mkapa(joke)

Najua wewe unaingia baadhi ya vikao vya CCM, kwa hiyo unajua hofu ya chama chako kuhusu upinzani kinyume na unachotaka kusema hapa.

Si vyama vyote 18 vi sawa. Vingine ni TUMAINI JIPYA, na vingine ni AIBU kwa Taifa. Tuko katika chekecheke hivi sasa.

Kaa karibu na Kaka yako Lowasa, utajua jinsi anavyoiona CHADEMA kama nightmare kwa ndoto zake za kifisadi.

Ufisadi wa CCM si sawa na udhaifu wa upinzani-na kubwa zaidi ni kuwa vipo vyama vinavyoongezeka nguvu kila kukicha.

Toa mifano ya allegation zako kuwa kuna vyama ambavyo badala ya kuwa kwenye kampeni vijijini wakati wa uchaguzi wako kwenye JF.

Pigia chapuo CUF chambelecho cha divided attention. Lakini jua kwamba watu makini wako focused. Wanajua adui wa kumlenga ni yupi na alengwe vipi kwa kutumia silaha gani.

Ipo siku utakumbuka haya maneno, hata kama nimeyaandika kwa uchache wa hoja.

Upo udhaifu katika upinzani;lakini zipo nguvu zinazoonekana na kuu kuliko yote ni kwamba uko mwelekeo uliyo bayana katika baadhi ya vyama na sehemu ya wanasiasa wa KIZAZI KIPYA.

Kuwa wakala wa mabadiliko unayotaka kuyaona kaka- bahari ni muunganiko wa matone madogo madogo ya maji. Kama kila mpenda mageuzi akitimiza wajibu wake, udhaifu ulioko katika upinzani utazidi kutoweka na nguvu inayoongezeka itatamalaki.

Time kills, Time Heals, Time Tells.

Mdogo wako,

JJ
 
Indeed, the future for our political opposition is rather gloomy. They do not seem to be doing any better today than comparing with yesterday. They are deeply involved in solving internal problems in their parties instead of coining new strategies of reconstruction. Infighting and conflicts among them is the order of the day, ukweli ni kwamba this is to say the least, is demeaning to democracy and a dis-service to us wananchi, yaaani wabongo!

Sasa hivi sio siri tena kwamba very few opposition leaders if any, wenye national interest at their hearts. For what has been established is that the majority are driven by personal gain and their primary objective is to get to State House.

They all want to rule! Yaaani wanataka kutawala tu!
 
Kaka Es:

I am sorry, naomba niwe cadre wa CHADEMA kidogo(joke)

Indeed, the future for our political opposition is rather gloomy. They do not seem to be doing any better today than comparing with yesterday.

NO! CHADEMA is doing better today than yesterday and its future is even more promising. CCM has a hopeless tommorrow


They are deeply involved in solving internal problems in their parties instead of coining new strategies of reconstruction.

No.CHADEMA has no internal problems, if there are minor conflicts are those of manageable magnitude that exists in any organization. CCM has worse internal wrangles. CHADEMA is coining new strategies-refer the relaunch with new colours, new structure, ideological positioning etc, it was a symbol of reconstruction. CCM celebrated its 30th Annivesary quite the same, it does not have any new strategies, infact instead of reconstruction it is moving to ideological destruction!

Infighting and conflicts among them is the order of the day,

No. CHADEMA is not fighting with other parties, unless they compromise principle. Otherwise we are in fair term thats why we have initiated the cooperation. Infighting within CCM its the order of every second


ukweli ni kwamba this is to say the least, is demeaning to democracy and a dis-service to us wananchi, yaaani wabongo!

No. CHADEMA is putting meaning to democracy and providing pluralistic service to wananchi, yaani wabongo are seeing it as chama mbadala

Sasa hivi sio siri tena kwamba very few opposition leaders if any, wenye national interest at their hearts.

No. Better few than none. Most of CHADEMA leaders are freshers in the country politic who have not succumbed to the politics of the belly and patronage. Its a new generation with talents they wish to enleash. They wish to have a legacy that its a generation that has fulfilled the historical mission of elevating the country to the level it deserves given the resources. So here national interest it an end although the self interest of unleashing their potential is a means. Most of CCM leaders are driven by personal or rather private desire-gready and patronage/matronage

For what has been established is that the majority are driven by personal gain and their primary objective is to get to State House.

No; primary objective is to make CHANGE, if state house among the forums then they want that forum. They are not running to state house for private bussiness like the likes of Richmonduli of CCM

They all want to rule! Yaaani wanataka kutawala tu!

No; CCMites wants to RULE. WanaCHADEMA wishes to LEAD


Sijui umenielewa teh teh teh teh

Mdogo wako

Jj
 
Mnyika:Kaka Es. I am sorry, naomba niwe cadre wa CHADEMA kidogo(joke)


Mzee Es: Indeed, the future for our political opposition is rather gloomy. They do not seem to be doing any better today than comparing with yesterday.

Mnyika: NO! CHADEMA is doing better today than yesterday and its future is even more promising. CCM has a hopeless tommorrow


Mzee Es: They are deeply involved in solving internal problems in their parties instead of coining new strategies of reconstruction.

Mnyika: No.CHADEMA has no internal problems, if there are minor conflicts are those of manageable magnitude that exists in any organization. CCM has worse internal wrangles. CHADEMA is coining new strategies-refer the relaunch with new colours, new structure, ideological positioning etc, it was a symbol of reconstruction. CCM celebrated its 30th Annivesary quite the same, it does not have any new strategies, infact instead of reconstruction it is moving to ideological destruction!

Mzee ES: Infighting and conflicts among them is the order of the day,

Mnyika: No. CHADEMA is not fighting with other parties, unless they compromise principle. Otherwise we are in fair term thats why we have initiated the cooperation. Infighting within CCM its the order of every second


Mzee Es-ukweli ni kwamba this is to say the least, is demeaning to democracy and a dis-service to us wananchi, yaaani wabongo!

Mnyika: No. CHADEMA is putting meaning to democracy and providing pluralistic service to wananchi, yaani wabongo are seeing it as chama mbadala

Mzee Es: Sasa hivi sio siri tena kwamba very few opposition leaders if any, wenye national interest at their hearts.

Mnyika: No. Better few than none. Most of CHADEMA leaders are freshers in the country politic who have not succumbed to the politics of the belly and patronage. Its a new generation with talents they wish to enleash. They wish to have a legacy that its a generation that has fulfilled the historical mission of elevating the country to the level it deserves given the resources. So here national interest it an end although the self interest of unleashing their potential is a means. Most of CCM leaders are driven by personal or rather private desire-gready and patronage/matronage

Mzee Es: For what has been established is that the majority are driven by personal gain and their primary objective is to get to State House.

Mnyika: No; primary objective is to make CHANGE, if state house among the forums then they want that forum. They are not running to state house for private bussiness like the likes of Richmonduli of CCM

Mzee Es: They all want to rule! Yaaani wanataka kutawala tu!


Mnyika: No; CCMites wants to RULE. WanaCHADEMA wishes to LEAD


Sijui umenielewa teh teh teh teh

Mdogo wako

Jj
 
Ndugu Mnyika,

With all respect, na ninaheshimu sana majibu yako maana ndio elimu yenyewe na tuko hapa kujifunza, isipokuwa tu unaharibu unapojaribu kuigeuza hii ishu kuwa personal, au ccm Vs Chadema, mimi sio kama wewe yaani mzungumzaji wa chama cha siasa, au muwakilishaji wa chama fulani cha siasa au ccm, kwa hiyo ndugu yangu heshima mbele, lakini ni wajibu kama mwana-froum kukata ishus zote, na sio kuwa-limited against serikali tu na ccm, na pia ninaheshimu sana haki yako ya kuikosoa serikali, ila so far kwa majibu au mwenendo wako na hii mada huonekani kuheshimu hilo kwa upande wangu,

Ingawa baadhi ya majibu yako ni mazuri, mengi yanaonekana kutolewa kwa jazba na munhari, sasa tukiendelea kukata hii ishu naomba tuelewane kwenye hilo, nia na madhumuni ya kuwa hapa pamoja na kutwanga mawe ni kuelimishana!
 
The opposition must now, as a matter of urgency, try to chart-out a visionary road map prioritising actions that would reassert their role to enhanse democracy and good governance as the cornerstones for national development. Again, ukweli ni kwamba they have been unable to do this for a number of years due to frequent conflicts and misunderstandings.

Kama wakiendelea na ku-tow in the same road without any drastic changes in their strategies, CCM will continue to reign for the next many years, if not for goood! au milele!
 
Mzee ES,
Kitu kimoja unachosahau unapo-compare leo na zamani ni kwamba zamani kulikuwepo na level playing field, ingawa wakoloni walijaribu kuiwekea TANU mikwara lakini hakukuwapo na chama kilicho-monopolize mambo kama CCM inavyofanya hivi leo. That is a big difference. Leo CCM ni dola na CCM ni chama, huo ni ukweli usiopingika
 
Mzee Es,
Hatima ya vyama vya Upinzani nadhani itatokana na msukumo wa wananchi wenyewe..Bahati mbaya ni kwamba inatakiwa nguvu yetu kuwasukuma. Haikutakiwa kuwa hivyo kabisa kwani ukitazama nchi nyinginezo zenmye Upinzani kila issue kubwa inayowakera wananchi huwa ndio somo kwa chama tawala.
Hivi sasa CCM hawana kitu cha kufikiria kabisa zaidi ya kutazama miradi yao wakisubiri Uchaguzi. Hapo ndipo watakuwa makini kutaka kufahamu Chadema, CUF na vyama vingine wana kipi kipya.

J.J. Mnyika ndugu yangu kusema kweli swali la Mzee ES ni zito na lina ukweli ambao wewe kama mwanachama wa chama kinachohusika (Wapinzani) lazima hutayaona yale tunayoyaona sisi kama vile sisi tusivyoweza kuona huko ofisini mwenu mnashughulika kiasi gani...

Kipimo chetu wananchi ni nguvu yenu ardhini, na hasa sauti zenu kuwa mbele pale serikali inapotumia mabavu kuwanyanyasa wananchi, serikali inapokuwa lege ktk mikataba yake na pengine kuishia wananchi kufukuzwa makao yao.
Viongozi kuwa wafanya biashara... yaonyesha wazi ni sera ambayo nyote mnakubaliana nayo!... hali mnafahamu ya kwamba ni sera kama hiyo inayompa uwezo kiongozi kumiliki vyombo vya habari hali nafasi kama hiyo hamuwezi kuipata..Na kamwe hamuwezi kuwa na rasilimali za kujiendeleza kwa sababu Upinzani ktk nchi zetu ni UADUI!..bearing that in mind hamkutakiwa kabisa kuwa nyuma ktk swala la viongozi kuwa wafanyabiashara. leo hii Mwinyi, Mkapa, Karume,Lowassa Yona na wengi wengi tu ni mamillionea kutoka mgongo wa wananchi, utajiri ambao vyama vya Upinzani hawawezi kuupata kabisa chini ya sheria hiyo unless mmechukua madaraka. Which ONLY means mnasubiri wakati wenu mnapokaa kimya ili....... who knows!.

Ningependa sana vyama vya Upinzani mchukue mada hii kama challenge kwenu.. wananchi wanasema Upinzani hakuna na nakuhakikishia J.J Mnyika fanya kiutafiti mtaani... Uliza watu swali hili hili.. Wanaonaje kuhusu vyama vya Upinzani Tanzania, je kuna Upinzani wa kweli?....
Trust me hesabu ya watakao kuunga mkono ni ndogo sana tofauti na hesabu ambayo unaweza ipata siku za uchaguzi.
 
Kaka Es na Mkandara:

Si kawaida yangu kutotazama pande mbili za shilingi. Ujumbe ambao nimeandika aya kwa aya nimemjibu Mzee Es kwa utani. Na nilianza kwa kuweka wazi kwamba ule ulikuwa ni utani. Lakini naamini ujumbe umefika.

Nakubaliana changamoto zipo nyingi katika upinzani nchini-za ndani na za nje.

Tunaendelea kuzikabili. Naowaomba nanyi mtoe mchango wenu katika kuzikabili. Upinzani wenye nguvu una manufaa kwa wananchi wote bila kujali itikadi.

Endeleeni kukata issues.

JJ
 
Mzee Es,

Ningependa sana vyama vya Upinzani mchukue mada hii kama challenge kwenu.. wananchi wanasema Upinzani hakuna na nakuhakikishia J.J Mnyika fanya kiutafiti mtaani... Uliza watu swali hili hili.. Wanaonaje kuhusu vyama vya Upinzani Tanzania, je kuna Upinzani wa kweli?....
Trust me hesabu ya watakao kuunga mkono ni ndogo sana tofauti na hesabu ambayo unaweza ipata siku za uchaguzi.

Hongera kaka Mkandara,

Ingawa ndugu yangu Mzee Es kama angelipenda kuona tunakuwa na upinzani wenye nguvu na umakini alipaswa kujiuliza ni nini amefanya kusaidia kufanikisha hilo na mangapi ameyafany kusaidia kudumaza upinzani lakini nakubaliana na wewe kabisa kuwa hili swali ni changamoto muhimu sana kwa hawa ndugu zetu wa vyama mbadala. Sipendi kuviita vyama vya upinzani kwa kuwa tafiti zinaonyesha kuwa neno hilo tayari limetiwa sumu na limekuwa moja moja ya sababu za udhoofu ambao wengi wanaupigia kelele.

Zaidi, sio kwamba mawazo hayo hawayapati lakini kwa kweli nashangaa kwa nini mara baada ya "kipigo" cha 2005 kwanini badala ya kuacha kutafuta mchawi (CCM na vyombo vya dola) hawajatilia maanani kufanya utafiti wa kisomi nchi nzima kujua kwanini watanzania waliwapigia kura na kwa nini hawakuwapigia.

Suala la fedha sidhani kama ni sababu kwani utafiti huo ni muhimu kuliko kubadili bendera na mabadiliko mengine ambayo ni symbolic with little substance. Kufanya mabadiliko bila tafiti kama hizo ni kupoteza muda na resources finyu walizonazo.

Anyway, labda wanahitaji kina mkandara mkawasaidia hilo gurudumu ambalo ukweli linawaelemea mno haswa katika enzi hizi za ari mpya...

Tanzanianjema
 
Mzee TZnjema,

Mimi sijafanya lolote kuusaidia upinzani bongo maana mimi niu mwanachama wa ccm, ambaye siridhiki na baadhi ya tabia au vitendo vinavyofanya na chama changu, nafikir nimefanya ya kutosha kwa kupiga sana kelele na kuwaamusha wananchi wawaliolala kupitia BCS, na hii forum, kwa nafasi niliyonayo sasa hivi ni hayo tu ndio uwezo wangu,

Kisheria kuna tuliowakabidhi hiyo dhamana huko upinzani, tatizo langu ni kuwa kutokuwepo kwa nguvu ya kweli huko upande wa pili unawafanya viongozi wangu wawe wavivu, na ndio maana ninatoa changamoto kwa upande huo wa pili kuwa kama leo 2007, uchaguzi unafanyika Tunduru, I mean from all the places in bongo, ambako wananchi mpaka leo bado kuna wanaovaaa magunia kama nguo, na bado ccm inaweza kushinda kwa kura 62% against kijana wa kisasa kisiasa Mnyika 3%, then tuna taabu kubwa sana Tanzania kwa ujumla, na huko mbelel ninaona kiza!

Kuna aliyesema kuwa Field ya siasa bongo sio levelled au flat, ninasema kuwa ni one of the best excuse, maana huwezi kusema kuwa Malawi, Zambia, na Kenya field ya siasa ilikuwa flat wakati the ccm's likes walipokuwa wanapigwa na upinzani!
 
Mzee ES,
Kwa Kenya KANU ili commit suicide kwa kushindwa kubadilisha viongozi kama CCM inavyofanya. Wakenya walikuwa wamemchoka Moi. Kinachowasaidia CCM ni kwamba kila baada ya miaka 10 wanakuwa na kiongozi mpya anayewania urais. Lakini kwa Tanzania ya sasa hakuna level field--shuhudia safari ya Mwungana Kigoma. Hata safari za kikazi zinageuzwa kuwa safari za siasa. Lakini polepole wananchi wataanza kuuona u-"bogus" wa CCM.
 
Ikumbukwe pia NARC iliyoiondoa KANU ni coalition iliyowajumuisha Mabilionea na wanasiasa wa kueleweka kama Saitoti, Odinga, Kibaki,Murungaru, Kombo, Wamwele, Maathai na list ni ndefuu. Hao tayari hawako kwenye level field, kwani wanaweza kujitetea kwani wenyewe ni institution tayari. Natumaini kwa nyumbani tutafika hapo lakini kwa sasa namuunga mkono JASUSI kuwa field is not levelled.
 
Jasusi,

Amini maneno yangu - Wananchi wamechokaaa na wameisha UONA mwanga!...Kinachotakiwa sasa hivi ni Upinzani wa nguvu!..
Habari kama hiyo ya Kigoma wasilaze damu na kukubali kirahisi ati kuomba msamaha badala ya kudai maelezo zaidi kwa nini rais inaitumia ziara yake kunadi chama.
Ikiwa kweli JK kafanya vile inatisha sana kwa wananchi..Hili ni TISHIO kwa wananchi wote sio wa Kigoma tu.. kwamba unapochagua chama nje ya CCM haya ndio matokeo!..Nani kweli ataweza kuwapigia kura wapinzani?...NJAA KALI!
Tumeyaona kwa baadhi viongozi walivyokatiwa maisha yao pindi walipojitenga toka CCM, akina Lamwai, Mabele Malando, Kabouru na wengine wengi tu itakuwaje wananchi wa kawaida...Wananchi wanahitaji leadership kusimamisha madai yao lakini kusema kweli nachokiona ni wananchi wanaowasukuma viongozi.
Kumbuka ilifikia hadi watu kufunga Ofisi ya Seif Sharrif huko Zanzibar kumbana ili awape jibu la ahadi zake!...yaani hakufahamu jukumu yake kabla?

Viongozi wanatakiwa ku raise mapambano!...kama ni TV na magazeti nao wafungue yao..Ziara ya JK kigoma ifuatiwe na ziara ya Mbowe, Mrema, Lipumba na Mbatia mkoa huo huo!.

Swala la Kenya haikuwa Moi hata kidogo, Kumbuka uchaguzi ulikuwa Kibaki miaka 71 akishindana na Uhuru Kenyatta bwana mdogo kabisa..Hakuna sababu kabisa za mzee Kibaki kupata ushindi ule hasa tukizingatia kwamba alikuwa makamu wa rais alipokuwa KANU na mzee umri wa kina Malecela..kwao halikuwa swala la mtu ila waliweza ona mbali zaidi ya mtu. Tanznaia hadi leo tunatazama sura za watu... na hata lawama zetu zinakwenda kwa JK badala ya CCM. Ni CCM inayotuburuza sio JK pamoja na kwamba yeye ni rais!
Wananchi wa Kenya walisha ichoka KANU!.. walisha choka kuburuzwa na hayo mageuzi ya tafsiri ya NYAYO!
 
ES & Mkandara, Kudos! I fully agree, TZ we have millions of excuses. Granted playing field isnt levelled, Incumbency factor, resources na mengineyo..so what? ni wapi..opposition walishawahi kushinda kwa sababu chama tawala kilitaka iwe hivyo especially in Africa? as long as system inaisaidia CCM, forget kupata sheria inayotoa haki sawa kwa wote! Nini kifanyike, operate within and with what you have. It doesnt require new law for me or another JF member kujua kwamba top leaders in CCM ni accomplice wa wizi wa richmond, madini etc! I mean tunaelewa lakini tatizo ni alternative tulizo nazo!

Iam not a politician but Iam very kin with "my secret vote". I always vote my belief and fortunately wengi wetu Tanzania we are slowly coming to terms in dealing with those who tell us on what political values we should believe in. From Senagal to Zambia to Malawi....chama tawala always is strong. waungwana wa chadema et al, we fully appreciate the difficult environment you work in, but hiyo haitoshi..propound policies and try to invest katika uwakilishi wa sauti zetu bungeni, for now dont invest much in presidency maana mkienda bungeni mka-influence mambo, people will trust you more...just saying...
 
Mr ES
Hiyo ya milele hapana. Ajuaye ya mbele ni Mwenyezi Mungu. Nakumbuka kuna wakati Marehemu Karume alisema hakutakuwa uchaguzi Zanzibar for the next 50 years. Guess what happened?
 
Back
Top Bottom