Nini hatma ya Peter Serukamba na Jimbo la Kigoma Kaskazini?

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Naomba taarifa za kitathmini juu ya hali ya kisiasa katika jimbo la Kigoma kaskazini alikohamishiwa Peter na uongozi wa ACT wazalendo hasa baada ya CCM kumkata the big EL. Hali ya kisiasa huko ikoje wakuu.
 
Acha umbea fanya kazi kijana ,hata na hivyo Hilo jimbo kwa sasa liko chini ya ACT wazalendo ,Kama utaki kasage chupa unywe
 
Leo napumzika , nimetoka kumbatiza mtoto kanisani, siunajua taifa letu tunapumzika leo
 
Back
Top Bottom