Nini hatma ya mwanajeshi wa Tanzania aliyepotea Congo, kama katekwa na adui jeshi letu lipo salama?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari za maandalizi ya Christmas wadau.

Niende hapo juu. Itakumbukwa tarehe 07/12/2017, waasi wa ADF waliwashambulia wapigaji wetu kule Congo. Askari kadhaa waliuliwa, wengine kujeruhiwa na moja hajulikani alipo.

Je ikiwa kashikiliwa na adui jeshi letu na kambi zetu na siri nyingi za jeshi letu hazitajulikana na adui huyu? Je jeshi na sisi kama taifa tupo salama kweli?
 
Ngojea waje wakosa akili watakuambia Huyo Mwanajeshi ni mtu wa kawaida sana hata hakuna hata haja ya kumtafuta, Na sababu watakazokupa ni kwamba hata waliopotea KIBITI hawakutafutwa.Watakupa na visingizio vya kwamba Yawezekana JWTZ wameuana na kutekana wao kwa wao kutafuta huruma ya jamii ya kimataifa.Pia watakuambia kuwa 'Wanamngojea yule wanajeshi aliyetekwa aje atoe ushahidi/ awataje wale waliomteka.
Tusubirie tuone visingizio vinavyoletwa hapa na WAKOSA AKILI.
 
Back
Top Bottom