Nini hatma ya miradi ya Chato?

Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.

Azory gwanda hakuwa na familia?
Ben saanane hajuwa na familia?
Lissu hakuwa na familia?
Rostam hakuwa na familia?

Hebu acheni machozi ya samaki nyie watu, eboooooh.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Unamzungumzia nani?
 
Inahamia Zanzibar sasa. Magufuli alionyesha mfano wa kupendelea sehemu Rais anakotoka.
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
 
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?

Upande wa uwanja wa ndege aliyejijengea ndio kaondoka kutumika tena labda siku viongozi kutoka nje wanakuja kwenye mazishi, Baada ya hapo sina uhakika.
Hivyo vingine kama Veta na hospitali watanufaika wanancha wa Chato na kanda ya ziwa kwa ujumla.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Huwa haina maana kutangazia watu umelia sana!!! Mnahisihi kulia ndio kuonesha unaroho nzuri?? Kufiwa huwa tunafiwa kila wakati chamuhimu tumwombe huku tukijiandaa na tuendeleze mazuri yake tuache mabaya alofanya
-tusibaguane kiitikadi/kikanda
-tusiwekeane visasi
-tusihukumu tutahukumiwa
-tusipendelee kwetu
-tutende haki
-tusiwe wenye vitisho
-tusichukie kukosolewa
-tusitese tulowapa kazi
-tusidhalilishe watu/tusitiriane
-tusiwe wajuaji/tujifunze kilaleo
-tusipende kunyenyekewa nk. nk.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.

Sawa pole sana pitia hizi nyuzi:-

Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Ana ana ana......hata waliokufa kwasababu ya kiburi chake wana hao wote. What about them?
 
Mm nilishawahi kuwa upinzani hapo nyuma lakini sikuwahi kumchukia huyu baba. Kwa sababu mbali na uraisi ila ni mtoto wa mtu jamani. Na nimemuombea sana tangu uvumi huu uanze. Hata jioni ya leo kabla sijalala nimemuombea ndo nikalala.nashangaa rafiki yangu ananipigia kuwa kafa.nimekosa usingizi.
Pole sana mwaya sema ulichelewa muda Wa kuomba Jana jioni, maana SAA 12 jioni tayari anafanyiwa party na malaika za welcome home mkuu wao.
 
Tutaanza na zile taa za barabarani, tutazing',oa zote tupeleke mwanza
Poleni Sana watanzania wenzangu kwa msiba wa rais wetu mpendwa!

Wakati mzee baba Yupo hai Chato ilikuwa haikauki midomoni mwa watu.

Miradi mikubwa mikubwa ya kimaendeleo ilikuwa inatekelezwa Chato nyumbani kwa rais, uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali kubwa ya kanda imejengwa Chato,uwanja wa mpira wa kisasa ulipangwa kujengwa Chato ambako ni nyumbani kwa marehemu rais!

Hizi wiki 2 wakati mzee anaumwa Chato ilikuwa imekauka midomoni mwa watu na kwa viongozi kwa maana ilisahaulika

Je hivi rais amekufa na yeye ndio alikuwa anaiendeleza Chato kwa miradi mikubwa na kuifanya Chato maarufu nchi kwetu ndo inaenda kusahaulika

Nakumbuka Mobutu seseseko alikijenga Sana kijiji Cha kwao Gbalollite lakini baada ya kuondolewa madarakani kijiji kimesahaulika na miradi yote imekufa.

Je Chato itakuaje baada ya muasisi wa kuijenga kufariki dunia...???Najiiuliza tu.
 
Back
Top Bottom