Nini hatma ya kampuni ya internet ya SMILE

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
378
639
Ni karibu Wiki ya tatu sasa SMILE hawapatikani hewani! Huduma zao zote hazipatikani!
Imefika pahala kama mmoja wa wateja wa smile kwa miaka, tunataka kupata tamko rasmi kutoka smile la kujua ni nini kinachoendelea na hatma yake.
 
Sir, You need to smile with SMILE in this hard times.
 
Ni karibu Wiki ya tatu sasa SMILE hawapatikani hewani! Huduma zao zote hazipatikani!
Imefika pahala kama mmoja wa wateja wa smile kwa miaka, tunataka kupata tamko rasmi kutoka smile la kujua ni nini kinachoendelea na hatma yake.
Kweli kabisa.
Huruma zake zimekoma.
Waturudishie salio.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom