Nini hatma ya huyu Mkurugenzi?

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Mkurugenzi emeonekana kutoa majibu ya uongo kila alipoulizwa swali na Rais

Magufulihttps://www.instagram.com/p/Bz8eiypn5jy/?igshid=19l7phpz8i9eo

Mkurugenzi emeonekana kutoa majibu ya uongo kila alipoulizwa swali na Rais

Magufulihttps://www.instagram.com/p/Bz8eiypn5jy/?igshid=19l7phpz8i9eo

Tukisema timu haiko sawa muwage mnaelewa. bilioni mianne zipelekwe wilaya moja haiji kuwa
 
Mkurugenzi emeonekana kutoa majibu ya uongo kila alipoulizwa swali na Rais

Magufulihttps://www.instagram.com/p/Bz8eiypn5jy/?igshid=19l7phpz8i9eo

Sioni logic ya kumuuliza mtu mbele ya watu underpressure kiasi hicho kisha utarajie correct data. Huko ni kuoneana ,
Hata huyo muulizaji siku ikiwa zamu yake akafanyiwa kama hayo anayoyafanya si kuzimia tu anaweza hata akafa,
Sioni hapo ila kutafuta sifa
 
huku kudhalilishana sasa,,
ila na yy mkurugenzi hajui hata pesa zinazotoka serikalini kuja eneo lake
 
Kama mlimshuhudia yule askari magereza aliyejieleza kwa ufasaha mbele ya rais kuhusu uniform, uhaba wa magari na changamoto nyinginezo, basi hivyo ndivyo ambavyo viongozi wengine wanapaswa kuwa, clear statements and straight to the point. Ni vile mkuu hapangiwi tu lakini yule askari anajielewa sana.
 
Back
Top Bottom