Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Kumalizika kwa uchaguzi wa mwaka 2015 ndiyo maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2020 maam na mimi naona uchaguzi umewadia.
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashifa kubwa ya kuiba fedha za umma kupitia kampuni ya kitapeli ya Richmond ndiye aliyeopelerusha bendera ya CHADEMA mwaka 2015.
Waziri Mkuu huyu aliyehudumu kwa miaka 3 ni presidential aspirant wa Muda mrefu suala ambalo naona je ata give up 2020 amuachie mwingine?
Japo kuna health concern ya Waziri Mkuu huyu lakini hapana he is fit nilishawahi kumuona wakati wa kampeni utembeaji wake ulionesha kweli ni kijana aliyehitimu Monduli miaka hiyo Japo tuu ila nina concern ule mkono wake mmoja japo hana uwezo wa speech delivering.
Je, CHADEMA mtakubali Waziri Mkuu Lowassa awawakilishe? tena na mnajua ile Minyukano ya kisiasa wakati wa kampeni Je ataweza? Au atabakia kua mshauri?