Nini hatima ya Tanzanite TV?

THE SHADOW ONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
231
500
Maisha yanakwenda kasi sana! Yanapanda na kushuka kwa kasi hiyo hiyo...yanakata kona na kupita kwenye makorongo kwa kasi ileile...Hayakusubiri na hayasubiri mtu...!
Hili ni pambazuko jipya waliolia wanacheka! Waliocheka wanaliwaa..! Waliopata wanakosa na waliokosa wanapata!
Huku ni kilio kule ni kicheko.. Kule ni taharuki...! Huku ni shangwe...! Maisha hakika yanakwenda kasi sana...!!!!
Hayuko tena kijana matata Cyprian Musiba mwenye tambo na mafaili ya watu wakubwa! Mzalendo mpigania tumbo ..HAYUKO na HAYUPO..!!!

Ni dhahiri shahiri kuwa kweli sasa unapigwa mwingi.. Musiba si wa kutoweka mitandaoni! Musiba si wa kujificha akiogopa watu.. Musiba wa kuadimika kwenye press conference akitisha kukejeli na kuwazushia watu tuhuma! Musiba si wa kuwakimbia watu waliomuita boss na kumnyenyekea mno!!! Sasa wamemgeuka! Wanamtafuta wampeleke kwa pilato..! Wanamdai mishahara ya robo mwaka sasa! HANA!
Mafanikio yake kibiashara kwenye tasnia ya habari hayakuwa haba na alipanda kwa haraka sana! Alijivuna na kujivunia mafanikio na ilikuwa mwaka huu afungue kituo kikubwa cha kisasa cha TV kwa jina la TANZANITE TV
. Nadhani leseni ilikuwa tayari
.Nadhani masafa yalikuwa tayari
.Nadhani kibali kilikuwa tayari
.Nadhani mitambo ilikuwa tayari imewasili bandarini...
.Nadhani hata wafanyakazi walikuwa tayari
. Nadhani kilichokuwa kinasubiriwa ni uzinduzi tuu..! Uzinduzi mkubwa kabisa...!!!

KISHAPO nadhani kuna kitu kibaya kikatokea ghafla na kuharibu mipango yote...! NADHANI ndio maana kafa bila kufariki na wafanyakazi wake wanamsaka kila kona!
Nadhani kuna somo la maisha anajifunza kwa njia ngumu mno...Nadhani AMEKOMA na hajui future yake ninini...!!! Je ni Segerea!?
giphy.gif
Mshana Jr.

Kumtumainia mwanadamu huleta mtego. Kila zama na nyakati zake na matajiri wake. Bali wamtumainiao Mungu husimama imara na jasiri kama Simba.
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
961
1,000
Usifananishe Free Media au Mwanahalisi na vitu vya kipuuzi tafadhali
Zote ni media za kipropaganda zenye upuuzi mwingi tu, uhai wake unategemeana na status ya boss ktk utawala husika

Ni kama vile baadhi ya vyama vya siasa vinavyoamini bila mtu fulani kuendelea kuwa kiongozi wao basi chama hakiwezi kusonga mbele
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,707
2,000
Kwani ni nn tofauti ya media ya bw Musiba na ile ya Tanzania Daima ya Mbowe au MwanaHalisi ya Kubenea!??

Vyote hivi ni vyombo vya habari za kipropaganda, kinachowatofautisha ni upande walioamua kupatia ugali wao

Na vyombo hivi vya habari vimeyumba baada ya mmiliki wake kukumbwa na dhoruba

Sasa kumnyooshea kidole bw Musiba kisa aliandika yale usiyoyapenda ilhali kina Kubenea na Mbowe media zao ziliandika yale uliyoyapenda na ukanyamaza kimyaa basi huo utakuwa ni UNAFIKI
Tofauti ipo.musiba anategemea hicho kijarida kupata ugali.mbowe ana mishe nyingi tofauti na hicho kijarida chake,mbowe family wako vizuri tangu mkoloni,musiba kwao ndio aliyekuwa katusua maisha
 
Brave-Man

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
637
1,000
Tofauti ipo.musiba anategemea hicho kijarida kupata ugali.mbowe ana mishe nyingi tofauti na hicho kijarida chake,mbowe family wako vizuri tangu mkoloni,musiba kwao ndio aliyekuwa katusua maisha
Good explanation, asante.
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
2,601
2,000
Hao ndo wale waliokua wanajifanya wana uchungu sana na nchi kuliko wengine kumbe walikua wababaishaji tu wanao nufaika kijanja na awamu iliyokuwepo.Sasa toka awamu imepita wanatapa tapa hawajui washike wapi.
 
Ni njaa na madeni simu hawapokei wanaishi kwa kujificha
 
nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
3,495
2,000
Kwani ni nn tofauti ya media ya bw Musiba na ile ya Tanzania Daima ya Mbowe au MwanaHalisi ya Kubenea!??

Vyote hivi ni vyombo vya habari za kipropaganda, kinachowatofautisha ni upande walioamua kupatia ugali wao

Na vyombo hivi vya habari vimeyumba baada ya mmiliki wake kukumbwa na dhoruba

Sasa kumnyooshea kidole bw Musiba kisa aliandika yale usiyoyapenda ilhali kina Kubenea na Mbowe media zao ziliandika yale uliyoyapenda na ukanyamaza kimyaa basi huo utakuwa ni UNAFIKI
Good explanation, only open minded ndo watakuelewa

Ila sikushauri ubishane nao, hutoweza.
 
  • Thanks
Reactions: tyc

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,452
2,000
Kuna kipindi hata humu niliwahi kulalamika kuhusu mwanaharakati huru kutumia TV yake kuchafua watu, niliishia kejeli kuna watu walisema nimeshaguswa nitulie dawa iingie na baadaye uzi wangu ulipotea(sijui ulifutwa kwa sababu gani)
Hapo bado Bernad Membe hajaja na madai yake
 
MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
711
500
Maisha yanakwenda kasi sana! Yanapanda na kushuka kwa kasi hiyo hiyo...yanakata kona na kupita kwenye makorongo kwa kasi ileile...Hayakusubiri na hayasubiri mtu...!
Hili ni pambazuko jipya waliolia wanacheka! Waliocheka wanaliwaa..! Waliopata wanakosa na waliokosa wanapata!
Huku ni kilio kule ni kicheko.. Kule ni taharuki...! Huku ni shangwe...! Maisha hakika yanakwenda kasi sana...!!!!
Hayuko tena kijana matata Cyprian Musiba mwenye tambo na mafaili ya watu wakubwa! Mzalendo mpigania tumbo ..HAYUKO na HAYUPO..!!!

Ni dhahiri shahiri kuwa kweli sasa unapigwa mwingi.. Musiba si wa kutoweka mitandaoni! Musiba si wa kujificha akiogopa watu.. Musiba wa kuadimika kwenye press conference akitisha kukejeli na kuwazushia watu tuhuma! Musiba si wa kuwakimbia watu waliomuita boss na kumnyenyekea mno!!! Sasa wamemgeuka! Wanamtafuta wampeleke kwa pilato..! Wanamdai mishahara ya robo mwaka sasa! HANA!
Mafanikio yake kibiashara kwenye tasnia ya habari hayakuwa haba na alipanda kwa haraka sana! Alijivuna na kujivunia mafanikio na ilikuwa mwaka huu afungue kituo kikubwa cha kisasa cha TV kwa jina la TANZANITE TV
. Nadhani leseni ilikuwa tayari
.Nadhani masafa yalikuwa tayari
.Nadhani kibali kilikuwa tayari
.Nadhani mitambo ilikuwa tayari imewasili bandarini...
.Nadhani hata wafanyakazi walikuwa tayari
. Nadhani kilichokuwa kinasubiriwa ni uzinduzi tuu..! Uzinduzi mkubwa kabisa...!!!

KISHAPO nadhani kuna kitu kibaya kikatokea ghafla na kuharibu mipango yote...! NADHANI ndio maana kafa bila kufariki na wafanyakazi wake wanamsaka kila kona!
Nadhani kuna somo la maisha anajifunza kwa njia ngumu mno...Nadhani AMEKOMA na hajui future yake ninini...!!! Je ni Segerea!?
giphy.gif
Nimependa ulivomaliza na kufunga mlango !!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom