Nini Hatima ya Balali?

Hume

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
341
106
Siku ya mkutano wa Dr Slaa pale mwembe yanga, Alisema serikali ilikuwa na mpango wa kumtorosha Balali, wakasema kuwa mpango ni kuwa akae huko amerika kwa miezi sita.

Mwanzoni sikuamini sana maneno hayo, lakini mida inavyoenda nazidi kuamini kwani siku hizo zinakaribia, licha ya visingizio vilivyochelewa sana kutoka eti anatibiwa.

Cha kujiuliza, mikakati yao baada ya miezi hiyo sita ni nini?
Kumuondoa kwenye nafasi hiyo au watu tusahau tuhuma za BOT?
Au ameondolewa kijanja kupisha uchunguzi uliokuwa unaendelea?
Na je hao wakaguzi walifanikiwa kumhoji akiwa huko america?
 
Kada mpinzani, FD pamoja na kilitime wanaweza kutupa majibu ya maswali yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom