Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 4,548
- 4,125
c ndio hata mimi nilishangaa, alisema atakuja na sehemu ya pili au Ayatolla Ali Khomeni kamchanganya nini mpaa akili zinaenda upande wa ile drone, ujue ndugu 200million$ c mchezo zinauma hizo.Mkuu ulisema unakuja na sehem ya pili... Tukaacha kufanya arguments... Na kuuliza maswali na kuelimishana
Kama tuelimishane..
Huoni Trump kavurugukiwa mpaa eti anamuweka kwenye black list.
Ayatollah Ali Khomeni hata uweke rangi za list yote hababaiki, atasubiri sana Trump kuona Ayatollah ana kwenda kumbusu Malenia na Ivanka 😁