Nini hasa sababu ya Iran kutaka kufunga strait of hormuz?

Mkuu ulisema unakuja na sehem ya pili... Tukaacha kufanya arguments... Na kuuliza maswali na kuelimishana

Kama tuelimishane..
c ndio hata mimi nilishangaa, alisema atakuja na sehemu ya pili au Ayatolla Ali Khomeni kamchanganya nini mpaa akili zinaenda upande wa ile drone, ujue ndugu 200million$ c mchezo zinauma hizo.

Huoni Trump kavurugukiwa mpaa eti anamuweka kwenye black list.

Ayatollah Ali Khomeni hata uweke rangi za list yote hababaiki, atasubiri sana Trump kuona Ayatollah ana kwenda kumbusu Malenia na Ivanka 😁
 
Mkuu kuhusu eneo la Jerusalem kihistoria hata ktk mafundisho ya dini yetu ni eneo la Palestine.
Na Msikiti wa Alaqsa ulijengwa toka enzi za mfalme Suleiman mkuu ambae alikuwa mfalme wa Palestine.
Asa sijui hapo nan ana haki na ile eneo
Kabla ya Israel kuvamiwa na waarabu na kuwa Ardhi yao unafahamu kwamba lile eneo lote lilikuwa ni la Israel na Palestine ilikuwa ni sehemu ndogo sana?
 
Mkuu ulisema unakuja na sehem ya pili... Tukaacha kufanya arguments... Na kuuliza maswali na kuelimishana

Kama tuelimishane..
Tayari nilishaiunga huko kwenye bandiko langu la kwanza soma tu kwa chini niliunganisha.
 
Ona sasa yani mtu mzima lakini una akili za kijinga.
Baba ake ameingiaje?
Sometimes be a wise man.
YOU ARE JUST A MAN BY PHYSICAL DEVELOPMENT BUT A BOY BY HAVING LOW BRAIN CAPACITY.
kama alivyo baba ako marehemu sio?
 
Ona sasa yani mtu mzima lakini una akili za kijinga.
Baba ake ameingiaje?
Sometimes be a wise man.
YOU ARE JUST A MAN BY PHYSICAL DEVELOPMENT BY A BOY BY HAVING LOW BRAIN CAPACITY.
Ushoga nao ulimuuliza uliingiaje kwenye hii mada?
 
Ulitakiwa umjibu kwa mujibu wa yeye alivyokujibu sio kumtusi mzazi wake.
Kuna majibu mengi umeyaacha ya kumdhihaki yeye ila sio kumtusi mzee wake bob.
Ushoga nao ulimuuliza uliingiaje kwenye hii mada?
 
Back
Top Bottom