Nini hasa sababu ya Iran kutaka kufunga strait of hormuz?

Hahahaha naomba kukujibu mkuu!

North Korea wana tengeneza silaha za Nuclear ili kupiga taifa la Marekani.
Iran anatengeneza silaha za nuclear ili kupiga Marekani na washirika wake.

Israel alitengeneza hizo silaha ili kujilinda dhidi ya maadui zake.
Pakistan alitengeneza kujilinda dhidi ya India ambaye ni adui yake.
India alitengeneza kujilinda dhidi ya Pakistan.

Utaona tofauti hapo juu kuna nchi zilitengeneza na zinazoendelea kutengeneza, hakuna ushahidi wa wazi hata wasiri wakuthibitisha kuwa India na Pakistan wana hizi silaha za hatari kabisa ila kuna propaganda.

Iran huwa hawezi kumshambulia Israel kwa sababu hiyo.
BTW silaha za nuclear zinauwezo wa kukuathiri hata wewe uliyeko mbwinde huko usishabikie uundwaji wake wala kuwepo kwake
kwahiyo u.s , uisrael , n. Korea , China na wengine kumiliki nuclear weapons ni sawa , ubaya ni muajemi kuzimiliki?
"hizi ndyo imani za ki tutsi"
 
Umeona mkuu eeeh?!
Yani huyu jamaa anatumia UN km umbrella kufanya uchafu wake hana lolote.
Yaani US imeshakuwa UN kwasasa maana jukumu la kuweka vikwazo kwa nchi nyingine siku hizi halifanywi na chombo chenye mamlaka hayo (UN) bali imekuwa vikwazo vinawekwa kwa utashi wa US.
 
Nyie jamaa vipi kuhusu china mbona anatengeneza naye mpango wake haram au?!
Huwezi kutembea mitaani una jambia mkononi na unatangaza kumfyeka jirani yako harafu wananzengo wanakuangalia tu lazima itakuwa haramu kwako kutembea au kumliki Jambia vivyo hivyo Iran ilipokuwa inatengeneza silaha hizo tangazo lake lilikuwa kuifuta Israel katika ramani ya Dunia.https://www.timesofisrael.com/iran-general-says-tehran-aims-to-wipe-israel-off-the-political-map-report/
 
Hahahaha naomba kukujibu mkuu!

North Korea wana tengeneza silaha za Nuclear ili kupiga taifa la Marekani.
Iran anatengeneza silaha za nuclear ili kupiga Marekani na washirika wake.

Israel alitengeneza hizo silaha ili kujilinda dhidi ya maadui zake.
Pakistan alitengeneza kujilinda dhidi ya India ambaye ni adui yake.
India alitengeneza kujilinda dhidi ya Pakistan.

Utaona tofauti hapo juu kuna nchi zilitengeneza na zinazoendelea kutengeneza, hakuna ushahidi wa wazi hata wasiri wakuthibitisha kuwa India na Pakistan wana hizi silaha za hatari kabisa ila kuna propaganda.

Iran huwa hawezi kumshambulia Israel kwa sababu hiyo.
BTW silaha za nuclear zinauwezo wa kukuathiri hata wewe uliyeko mbwinde huko usishabikie uundwaji wake wala kuwepo kwake
Umeandika kishabiki kama unabishana kwenye ligi ya EPL,huyo marekani ndiye ameshatumia silaha za Nuclear huko Hiroshima na Nagasaki,kila nchi inayo haki ya kumiliki silaha iitakayo,kwanini wengine wawe na Nuclear na wengine wasiwenayo? Think big kijana.
 
Huwezi kutembea mitaani una jambia mkononi na unatangaza kumfyeka jirani yako harafu wananzengo wanakuangalia tu lazima itakuwa haramu kwako kutembea au kumliki Jambia vivyo hivyo Iran ilipokuwa inatengeneza silaha hizo tangazo lake lilikuwa kuifuta Israel katika ramani ya Dunia.https://www.timesofisrael.com/iran-general-says-tehran-aims-to-wipe-israel-off-the-political-map-report/

Tumia akili basi japo kidogo tu,Iran hata kama katoa vitisho ila ni vitisho,BUT hawa US wao wameitumia kabisa hiyo Nuclear kupiga Hiroshima na Nagasaki,ndio taifa pekee ambalo limeshaitumia hiyo silaha! acha ushabiki wa kijinga.
 
Kweli kwasababu huyu mjinga ndio anasababisha dunia isiwe na amani. Kazi yake kuchonganisha nchi zipigane ili yy abakie kuwa kinara.
Hauijui historia ya dunia wewe,..Kabla ya marekani, kulikuwa na German na makolonin mengine katili.Na baada ya Marekani kutatokea taifa jingine tu kandamizi...Hii dunia lazima kuwe na watchdogs,mataifa jeuri jeuri na sumbufu.Kma ilivyo binadamu,kuna wababe,wapole na Jeuri,The same applies kwa mataifa haya...may be akitoka marekani ataingia China,Unafikiri ataruhusu mataifa mengine yampande kichwani???..
 
Tumia akili basi japo kidogo tu,Iran hata kama katoa vitisho ila ni vitisho,BUT hawa US wao wameitumia kabisa hiyo Nuclear kupiga Hiroshima na Nagasaki,ndio taifa pekee ambalo limeshaitumia hiyo silaha! acha ushabiki wa kijinga.
Hebu elezea wewe kwa uelewa wako unaelewa nini kuhusu huu mgogoro,baadala ya kuishia ku attack watu tu bila point yoyote...
 
Back
Top Bottom