Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

Ahhh hiyo ilikuwa kwa nini wazee wa makubazi waseme Mungu ni mmoja tu, na hajazaa wala hajazaliwa.
Sasa ingawa sirikali ilikuwa haina dini lakini ikaumia kidogo kwa kuwa watu wa dini fulani waliumizwa kihisia na kiimani
 
Dogo mwaka 98 ulikuwa na umri gani? Hivi unafahamu kwamba Mwinyi alistaafu mwaka 2005?

Hivi unafahamu hiyo kauli aliyosema ilikuwa miaka ya 93? Na unajua ilitokana na mabucha ya kitimoto yaliyovunjwa mwege?

Tuache wazee wako tukuelezee
Mwinyi kastaafu 1995.
 
Hii yote ilikuwa ni kudeka kwa baadhi ya Masheikh, baada ya kuwa wanazungumza na mzee Mwinyi kila wakati. Waliamini baada ya kumzoea sasa wanaweza kuingiza kila sera. Kwa Mtoro ikawa ni sehemu ya hotuba na mawaidha ya matusi kwa wakristu. Ni kweli, Mwembechai chanzo kikawa ni bucha za nyama ya nguruwe. Yasadikiwa ni mtoto aliyetumwa nyama ya ng'ombe, akakosea na kuingia bucha la nyama ya nguruwe. Watu wa kudeka wakaona hatuchezewi na makafiri, wakaanza msako wa mabucha na kubomoa baada ya Swala ya ijumaa. Mkong'oto ukaanza na siku zilizofuata vita ilifika msikiti wa Kwa Mtoro. Bahati mbaya hata maafisa wa serikali wakaingia kwenye mtego huo. Pale UD MSAUD wakajiingiza na kuaminishwa immunity, huku wakisaidia kutunga hotuba za matusi. Wasomi hao!

Somo hapa ni kuepuka kuzoeza watu kwa mambo madogo hata kama hayana madhara, ambayo ni kinyume cha sheria. Serikali ya Mwinyi iliona ni kawaida mijadala ya kidini mitaani, nje ya nyumba za ibada tena bila ruhusa. Ikionekana ni 'watu wa Mungu'. Baadaye ikawa ni matusi baadaye waovu wakaingia na kukonga nyoyo za wafuasi. Akina Ponda. Hadithi kama hizi yastahili zisimuliwe kwa uwazi ili waliokuwa watoto waelewe nini kilitokea na kinaweza tokea kama wapuuzi wengine watatumia nafasi vibaya.

btw. Pale Kwa Mtoro, watu walipata kipigo wakakimbilia msikitini. Polisi wa mbwa wakapiga kambi nje wakipeana zamu. Sasa ukiwa ndani mkojo utaupakua wapi? Wakaanza kutoka mmoja mmoja na kupata kipigo.
 
Pascal umenisikitsha sana kwa hii post
wewe kama Journalist uko katika nafasi nzuri zaidi kuelezea tukio la Mwembechai
vizuri zaidi hasa moja ya kituo kilicho ripoti enzi hizo DTV uliwahi fanyia kazi

tena taarifa za kuwa waliokamatwa walikuwepo wakristo wengi zilitoka na kushangaza wengi
Wakristu wanaandamana kutoka msikitini? Tanzania kweli sihami 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hii yote ilikuwa ni kudeka kwa baadhi ya Masheikh, baada ya kuwa wanazungumza na mzee Mwinyi kila wakati. Waliamini baada ya kumzoea sasa wanaweza kuingiza kila sera. Kwa Mtoro ikawa ni sehemu ya hotuba na mawaidha ya matusi kwa wakristu. Ni kweli, Mwembechai chanzo kikawa ni bucha za nyama ya nguruwe. Yasadikiwa ni mtoto aliyetumwa nyama ya ng'ombe, akakosea na kuingia bucha la nyama ya nguruwe. Watu wa kudeka wakaona hatuchezewi na makafiri, wakaanza msako wa mabucha na kubomoa baada ya Swala ya ijumaa. Mkong'oto ukaanza na siku zilizofuata vita ilifika msikiti wa Kwa Mtoro. Bahati mbaya hata maafisa wa serikali wakaingia kwenye mtego huo. Pale UD MSAUD wakajiingiza na kuaminishwa immunity, huku wakisaidia kutunga hotuba za matusi. Wasomi hao!

Somo hapa ni kuepuka kuzoeza watu kwa mambo madogo hata kama hayana madhara, ambayo ni kinyume cha sheria. Serikali ya Mwinyi iliona ni kawaida mijadala ya kidini mitaani, nje ya nyumba za ibada tena bila ruhusa. Ikionekana ni 'watu wa Mungu'. Baadaye ikawa ni matusi baadaye waovu wakaingia na kukonga nyoyo za wafuasi. Akina Ponda. Hadithi kama hizi yastahili zisimuliwe kwa uwazi ili waliokuwa watoto waelewe nini kilitokea na kinaweza tokea kama wapuuzi wengine watatumia nafasi vibaya.

btw. Pale Kwa Mtoro, watu walipata kipigo wakakimbilia msikitini. Polisi wa mbwa wakapiga kambi nje wakipeana zamu. Sasa ukiwa ndani mkojo utaupakua wapi? Wakaanza kutoka mmoja mmoja na kupata kipigo.

Duh
 
Kalamu 1,
Unaandika umeghadhibika na ghadhabu huondoa adabu na umakini.
Mimi nitakuhakikishia kuwa si mwandishi wa riwaya.

Kama kueneza kalamu yangu unanilaumu kwa hilo ningependa kukuarifu siko peke yangu katika hilo kwani wako wachapaji vitabu, taasisi za utafiti na vyuo vikuu ambao wote hao wanashirikiana na mimi.

Wewe hujibishani na mimi.
Hapa mimi nakusomesha.

Sasa sijui kama una makamo ya kuwadharau hao hapo chini:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  17. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  19. Awards: Several Awards
  20. Visiting Scholar: (2011)
  21. University of Iowa, Iowa City, USA
  22. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  23. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  24. OTHER COUNTRIES VISITED
  25. Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Aisee!
 
Ahhh hiyo ilikuwa kwa nini wazee wa makubazi waseme Mungu ni mmoja tu, na hajazaa wala hajazaliwa.
Sasa ingawa sirikali ilikuwa haina dini lakini ikaumia kidogo kwa kuwa watu wa dini fulani waliumizwa kihisia na kiimani
Padre alienda kushitaki polisi kwamba yesu anatukanwa,rais alikua mkatoliki,afande gewe sijui dini gani,basi jeshi la polisi likaingia kuua waislam,Tena wanasikika piga yule,muongeze,halafu baadae wakaziwekea maiti mawe viganjani,upigwe risasi uanguke uge na jiwe liwepo kiganjani,wakakamata wazee wa miaka 80 na kuwapa kesi za kufanya fujo,akina mzee chata nk
 
Kashfa za kidini hazifai
 
Back
Top Bottom