Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 22 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Meja Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.

Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao?

Karibuni kwa mjadala wakuu, kama hujui basi usilete masihara.
Aliponzwa na Mrema. Over
 
Thread Ina Page Nyingi Anza Kutazama Ni Tukio La Lini Halafu Tiririka Neno Kwa Neno, Mstari Mpaka Last Page Utaelewa Kuwa Muda Wa Serikali Kufanya Kazi Inatumia
"Wild Dogs" Baada Ya Kumaliza Kula Nyama Yoyote Mwenye Damu Mdomoni Itabidi Naye Aliwe

Mbwa Mwitu Wako Care Kwenye Ulaji Wa Mnyama Wanayemuua Kuepuka Damu Kujaa Mwilini Maana Unaweza Kujitia Kwenye Matatizo
 
Vipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.

Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.

Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.

Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.
Bullshit, can't take this crap
 
Back
Top Bottom