sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 355
- 284
Familia ililipwa tsh 300 milioniKwani kesi ya wauwaji wake waliokamatwa iliamriwaje mahakamani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia ililipwa tsh 300 milioniKwani kesi ya wauwaji wake waliokamatwa iliamriwaje mahakamani ?
Watu wanachapa code tu nasoma sielewi ila nakazana nimalize comments labda taelewa huko mbeleLugha ngumu hii
Walitoka kwa msamahaKwani kesi ya wauwaji wake waliokamatwa iliamriwaje mahakamani ?
Mkuu nina wasiwasi na weweMkuu Wewe ni nguli humu! Kwa uandishi flani akitoka paskali unafatia Wewe. Tofauti Wewe unacharaza vimistari vichache tu ila vimeshiba.
What happened asee...utata wa huyu spy chief na kifo chake ilikuwaje? Karibu utujuze kwa style ile ya uandishi wako.
Thanks, duuuh ilikuwa hatari
Aliponzwa na Mrema. OverWakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 22 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Meja Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.
Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao?
Karibuni kwa mjadala wakuu, kama hujui basi usilete masihara.
Nahisi wameitoa! Mwnyw imebuma!Haka kalink kananigomea aki.. Unatumiadje??!
Sio polisi sasa kwa wingi waoUshawahi kusikia watu wanaitwa double agents?
Wakati mwingine watu wanafuata tu ajiraMkuu kazi nyingine zipo automatically kwenye damu za watu,
Embu jiulize wanajeshi wangapi tunawaona kwenye tv wanauwawa lakini kila inapo tokea nafasi makumi ya watu wanaenda kujiunga? Kazi nyingine zipo kwenye damu
Bullshit, can't take this crapVipi kuhusu President Slim wa nchi jirani kuhusika katika mauaji.
Kombe akiwa DG wa Idara, alikuwa anajua kinachoendelea kuhusu mipango ya Slim kutaka kufanya mapinduzi nchini mwake.
Kombe aliwashauri Marais wale wasipande ndege moja wakiwa wanatoka Dar Es Salaam lakini wakawa wabishi, kilichowakuta kila mmoja anajua.
Hivyo kuna wanaoamini Slim alimfanyia faulo Kombe ili kupoteza ushahidi, na ukizingatia Kombe alishapoteza kuaminiwa na wakuu wake, hivyo ikawa kazi rahisi kwa Slim kufanya yake.
Walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa ila rufaa iliwatoaKwani kesi ya wauwaji wake waliokamatwa iliamriwaje mahakamani ?
??Mkuu
Jukwaa Hili Kuna Mjadala Uliwekwa Kuhusu Sakata Zima Mpaka Kifo Cha Mzeru Kule Airport
nimewaza kama wewe mpe mtoto pipi kwa mbali ataifata tuMkuu nina wasiwasi na wewe
Mliosoma kitabu vipi na hii ipo?Dah! Haya mambo