Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,413
- 6,569
Ilikuaje?R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Ilikuaje?R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Kweli mkuu Cha muhimu mtu ajue majukumu yake na maadili ya kazi yake ili maisha yaende au vp mkuu??
Mkuu kazi nyingine zipo automatically kwenye damu za watu,Ndio maana mzee wangu aliwahi kunihusia fanya kaz zote ila nyagu, ujeda na ushushu usifanye. Nikisoma habar km hiz naiona kabisa busara ya mzee wangu. Mungu azidi kumuongezea umri zaid mzee choupa moting.
Uta juaje hiyo ndio njia sahihi ya kumfanya akae kimya Sababu anajua wakimtaka na hana Ulinzi inakuwa Simple !!?.
Kwa kifupi hizi Kazi sio kabisa ,kila unapo ota Mabawa ndio unajiweka kwenye target Muda wowote.
Mtu aliewahi kuwa na mafile mezani ya siri za nchi na mataifa mengine mengine na hana Cover huumpi Ulinzi?
Mkuu kazi nyingine zipo automatically kwenye damu za watu,
Embu jiulize wanajeshi wangapi tunawaona kwenye tv wanauwawa lakini kila inapo tokea nafasi makumi ya watu wanaenda kujiunga? Kazi nyingine zipo kwenye damu
Usalama wa taifa wanaanza kuonekana na hyo fani wakiwa wadogo miaka 14 kwenda juu.. Naamini kila mtu anazaliwa na talanta yake ndani ya damu..Kujiunga kaz kwa wingi sio ishara ya kuipenda kaz. Kwa maisha ya sasa yalivyo magumu tunaochagua kaz ni wachache sana.
Yule uzungu mwingi simuwezi mjombaAmesoma vya kutosha tu.
Namfahamu tangu akiwa binti mdogo.
Ametulia.
Vipi mkuu wataka kuchumbia?
Tupo hapa wajomba.
R.I.P Imran, Mdogo wake alitaka aje kufanya postmoterm Yeye Mwenyewe akitokea Zimbabwe ambako alikuwa akihudumu kama Daktari
Alisahau this is Tanzania
Hayo Mambo Ni Magumu Hasa Unapotafutwa Ukweli Hata Kama Unajulikana Wazi
Unajua Kuhusu Sakata La Ambassador General Abrahaman Shimbo Na 4.3 Trillions Akiwa Civil Servant Na Liliishaje?
Na hayo machache uliyofanikiwa kujua shukuru
Na hayo machache uliyofanikiwa kujua shukuru
MTC | 101|
Si ndio habari zika vujaga kuwa huyu mkulu wa mabakabaka aliyepita walitaka kufanya yao
Yupo TanzaniaHivi huyu mzee yupo wapi siku hizi ?
Na issue ya hizo pesa sidhani hata kama ilikwenda popote
kumbe shimbo ni mpare duhJuzi juzi alikua kwao pale Gonja Same Kilimanjaro vip ana nini kwani
AiseeMtu ambae anakimbizwa Na akapigwa Risasi akijaribu kukimbia Sio rahisi kupigwa Risasi ya kifuani Kwa mbele
Ukisikia story Kuwa alipigwa Risasi Kwa mbele maana yake inatengenezwa Mazingira ionekane alikuwa anakabiliana nao wakaona wamuwahi
Yule Mama hakuwa target no. 1
Huwezi kuanza kufanya jitihada Za kuficha ushahidi kabla ya kufanya uhalifu
Kwanz unafanya uhalifu then unaficha ushahidi kwenye kuficha ushahidi inawezekana ukachemka kutokana na Mazingira Na extent ya uhalifu uliofanya