Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
5,234
Points
2,000

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
5,234 2,000
Ndio maana mzee wangu aliwahi kunihusia fanya kaz zote ila nyagu, ujeda na ushushu usifanye. Nikisoma habar km hiz naiona kabisa busara ya mzee wangu. Mungu azidi kumuongezea umri zaid mzee choupa moting.
Mkuu kazi nyingine zipo automatically kwenye damu za watu,

Embu jiulize wanajeshi wangapi tunawaona kwenye tv wanauwawa lakini kila inapo tokea nafasi makumi ya watu wanaenda kujiunga? Kazi nyingine zipo kwenye damu
 

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
4,025
Points
2,000

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
4,025 2,000
Uta juaje hiyo ndio njia sahihi ya kumfanya akae kimya Sababu anajua wakimtaka na hana Ulinzi inakuwa Simple !!?.

Kwa kifupi hizi Kazi sio kabisa ,kila unapo ota Mabawa ndio unajiweka kwenye target Muda wowote.

Mtu aliewahi kuwa na mafile mezani ya siri za nchi na mataifa mengine mengine na hana Cover huumpi Ulinzi?
 

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Messages
1,344
Points
2,000

choupa moting

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2016
1,344 2,000
Mkuu kazi nyingine zipo automatically kwenye damu za watu,

Embu jiulize wanajeshi wangapi tunawaona kwenye tv wanauwawa lakini kila inapo tokea nafasi makumi ya watu wanaenda kujiunga? Kazi nyingine zipo kwenye damu
Kujiunga kaz kwa wingi sio ishara ya kuipenda kaz. Kwa maisha ya sasa yalivyo magumu tunaochagua kaz ni wachache sana.
 

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
33,183
Points
2,000

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
33,183 2,000
Mtu ambae anakimbizwa Na akapigwa Risasi akijaribu kukimbia Sio rahisi kupigwa Risasi ya kifuani Kwa mbele

Ukisikia story Kuwa alipigwa Risasi Kwa mbele maana yake inatengenezwa Mazingira ionekane alikuwa anakabiliana nao wakaona wamuwahi

Yule Mama hakuwa target no. 1

Huwezi kuanza kufanya jitihada Za kuficha ushahidi kabla ya kufanya uhalifu

Kwanz unafanya uhalifu then unaficha ushahidi kwenye kuficha ushahidi inawezekana ukachemka kutokana na Mazingira Na extent ya uhalifu uliofanya
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,343,297
Members 515,007
Posts 32,779,645
Top