Nini Gta V , hii hapa Mad Max

beast18

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
320
482
 

Attachments

  • 1480187951498.jpg
    1480187951498.jpg
    25.1 KB · Views: 49
wale wapenzi wa open world games na gta v , baada ya kuona video youtube ya gameplay ya madmax nikaona sio shida nikaidownload na kuiinstall nijionee, naam nilichokuwa nakitafuta nimekipata , gameplay iko vizur.graphics kali , story nayo pia ni nzur , kuna mambo mengi ya kufanya na map nikubwa naweza kusema mara 3 ya ile ya gta v , kama umeiona movie nna uhakika utaipenda maradufu hii game, unaweza kuipata fitgirl repacks au skidrow reloaded ,
829504079b6a8c866d9bfd12e2e4060c.jpg
e9b62613e66322460ddafe2568a54449.jpg
5eabb48556451ebd105b82c85e29a338.jpg
8742c753a431169040b20f39bcd5113f.jpg
f4b38aed33b18b2fcd55ced25a5009e1.jpg
beaaa68e4603fe332597ae2c4b909b27.jpg
a10bedf16e68b9cb9fe1cccf879c31a5.jpg
Hii game sikuipenda kabisa...nilifuta kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom