Nini Faida za Vyama Vya Wafanyakazi

Tangasisi

Senior Member
Aug 21, 2013
116
64
Wadau najiuliza faida za vyama vya Wafanyakazi katika kusimamia maslahi ya Wafanyakazi nchini. Kuna baadhi ya ma kampuni, NGOs hata Taasisi binafsi zinadhibiti Wafanyakazi wake kujiunga katika vyama hivi. Je! Ni kweli vyama hivi ni vya kinyonyaji na havina tija kwa jamii? Ama ni uoga wa taasisi hizi pindi Wafanyakazi wake watakapojiunga watakuwa werevu wa mambo na kuanza shinikizo la kudai stahiki zao pamoja na kushiriki migomo?
 
Wa dau najiuliza faida za vyama vya Wafanyakazi katika kusimamia maslahi ya Wafanyakazi nchini. kuna baadhi ya ma kampuni,NGOs hata Taasisi binafsi zinadhibiti Wafanyakazi wake kujiunga katika vyama hivi.Je ni kweli vyama hivi ni vya kinyonyaji na havina tija kwa jamii? Ama ni uoga wa taasisi hizi pindi Wafanyakazi wake watakapojiunga watakuwa werevu wa mambo na kuanza shinikizo la kudai stahiki zao pamoja na kushiriki migomo?

Yaan Ukijiunga Utachangia Ad Unastaafu Kazi, Faida Ni Chache Sana Ukilinganisha Na Hasara
 
Back
Top Bottom