Nini faida ya kuoa mwanamke ambaye ni bikira

acheni wenye mademu 2lovunja wenyewe 2seme,wewe ni bhana,nakuambia ni fahari yaan unajisikia fahari kuwa nae,yaan sa ingne unazama chumvin bila kinyongo,c nyie used ukizama unakumbuka kuna mjomba nae kashafanya hvyo,afu asikudanganye m2,kujua mamitindo mastail,inakua poa cna wewe kumfundisha kama mwanaume,c unakuta ji2 used bs linajipindua mpaka unasema uwi kahaba nini!kwenden zenyu kule bhana,heshma ya joho ibaki joho

nimecheka sana....jioni njema mkuu.
 
Ni mtazamo tu,uswazi kwetu watu wanavunja leo,kesho wengine wanaendeleza km kawa! kusahaulika au kukumbukwa inategemea na jinsi ulivyo miliki jukwaa au kiwanja siku ya tukio ht kama ni kitu used iwapo viwango vyako hakuwahi kufikishwa,ww utaendelea kushikilia namba 1 till apatikane wa kukufunika tena!



na pia ulimpa shingapi! inasaidia
 
kushoto kulia wa kwanza ata baki wa kwanza yeye ndo mzindua mgodi, kwahiyo kama unapenda used wewe unapenda makombo yaliyo chokwa
 
Kupata Hao Wa2 Ni Ngumu Sana Now Dayz So Nlichoamua Ni Kuchafuachafua 2 Coz Sijui Huyo Mke Wangu Niliyepangiwa Na Mungu Ashapitiwa Na Wangapi
 
BK inaonyesha jinsi gan bint kajitunze inamfanya mwanaume ampende sana na kumuheshimu.so kwa wenye nazo waendelee kujitunza.
 
Wanaume bwana. Mnatafuta bikira ninyi wenyewe hamna hizo bikira loo. Muwaombee mabint zenu wasije chafuliwa kama ninyi mnavyo chafua watoto wa watu
 
acha kudanganya watu,kuna raha gani kubikiri?
mimi nishabikiri sana na sijawahi kuiona au kuipata io raha,sana kero tu..bora waloisha bikiriwa...
Kwa hiyo na wewe umechangia kuwafanya wadada wa watu waitwe screpa. Sio vizuriiii
 
Moja ya faida ya mwanamke bikra ni kwamba wewe ukiwa mwanaume wa kwanza kwake c rahisi xn mwanamke kukuacha ww mwanaume, na atakukumbuka coz ww ndo ulimfundisha mapenzi'.....daaah! Ila asikwambie m2 aliyegundua ki2 mapenzi ame2sababishia matatizo xn
Bikira inatafutwa ili usiachwe! Enzi zetu tulibikiri kadhaa na hatukuoana. Na nilikuja kuoana na aliyebikiriwa na mwingine (ni ukweli) na napata kitu rungu inapenda naye anajiona kapata kuliko alichokiona kwa aliyembikiri. Hapo kunakuachana?

Kati ya niliyowabakiri walikuwa washamba wa mapenzi na wengine wala hawakuwa ubavu wangu (sehemu zetu zilikuwa hazishahabiani)!

Wanaume wengine wameoa bikira na bado wanaenda kwa waliobikiriwa na wengine ambako wanaridhishwa kimapenzi na wanawake zao wanagawa kwa siri kwa wanaume wengine.

Siri iliyo katika jambo hili ni kubwa na ndio maana kwa mtizamo wangu, kama kuna moto basi wengi tutachomwa kwasababu ya ngono.
 
Watu wengi wanapenda kuoa wanawake bikira, wakati unapomuoa bikira yake inakuwepo ukishambikiri anakuwa sio bikira tena. Je kuna haja ya kuhangaika na mabikira wakati bikira zao hazidumu hata week moja? Si bora kutafuta yoyote yule aliye tulia na mnayependana kwa wakati huo?
Kula tunda kimasihara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom