Nini faida ya kuoa mwanamke ambaye ni bikira

Ushawahi kujiuliza kwa nini jamani wanawake walikuwa wanaoleewa bado bikira?
 
Mwanaume husikia raha sana anapombikiri mwanamke, na pia anajisikia faraja kuwa yeye ndiye wa kwanza kukata utepe!

Tatizo ukizoea kubikiri utataka uendelee kubikiri. Kuna raha ya kubikiri we acha tu!

Eee banaeee..Nna Appointment na Mmoja iv Em npe Ujuz Raha zpo wapi ili nijue...na mie...
 
Sijui umekumbuka kuleta na tango pamoja na mbilimbi, karoti, tikitimaji, nyanya chungu na nyanya za kipare pls nakuukumbushia usisahau kuleta zote hzo kama hela hakuna sema nikutumie kwenye tigopesa yangu,

eheeeeee nilitaka kusahau leta na ndizi japo mashina matatu ya kuweka kwenye rost ya maini yangu pls usisahau
unapenda zile nyanya ngumu au laini?

Ntaleta na matango ya kutosha
 
nna case study ya hii kitu
Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanamke kwa miaka minne walikuwa happy kama kuna ugomvi ni kawaida wanasolve maisha yanaendelea dada alijitoa kiasi kikubwa kwa huyo mwanaume .Na mwanaume alijua anapendwa sasa hivi karibuni kaka kapata mafanikio sana ana vyombo vya usafiri vinavyomuingizia pesa nyingi kwa siku .Amekutana na mwanamke mwingine ambaye yeye ndiye amembikiri
Ikumbukwe kuwa yule msichana aliyekuwa nae kwa miaka mnne walikuwa happy wanajoke, wanaimba, wanafurahi muda wote . Jamaa kamuacha dada anasema anachofeel kwa huyo msichana mpya ni real he dont want to loose it wakati huyo jamaa alianza na huyo dada hadi chakula ananunuliwa
Is it fair?
 
not fair kabisa.... jamaa lazima amkumbuke yule dada wa miaka minne ... hapo ndipo mapenzi yake yalipo .. huyo bikra anamwonea huruma tu na bikra kumuheshimu na kumwogopa ni kwa sababu hana exposer ya kutosha
 
hahah eti exposer ya mapenzi au ya nini?
 
Wallah! Bikira ingekuwa upuuzi tu tusingesikia habari za bikira artificial
 
Wakati huu nasoma huu uzi, moyo unaumaa maana sijawahi kukutana na hii kitu, kuna siku nikajaribu kubanjua katoto ka darasa la saba nikakuta washatoa wajanja, nikasema, ngoja nitulie nisije kwenda jela bure

Hivi unawajuaje wajamen
 
Kwa mtazamo wangu. Utoaji wa bikra kwa mwanaume unaondoa kujiuliza maswali yafuatayo
1: Ni wangapi wameshafanya mapenzi na huyo aliyenae kabla yake yeye huyo mwanaume?
2: Ni wangapi walikuwa wataalamu zaidi yake?
3: Kulinganishwa na wengine, kitu ambacho wanaume huwa hatukipendi wala kutaka kukisikia
4: Je, ni kweli amewasahau/hawasiliani na waliofanya nae?
5: Mwanamke alianza lini huu mchezo wa mapenzi?
6: Wanaume wengi huamini walioanza mapenzi mapema kabla ya ndoa ni kwamba hawajatulia. Ila swala la utulivu pia wanaume hujiuliza.

Kuoa bikra inaondoa kujiuliza hayo maswali na pia inaongeza value fulani ya mapenzi kwa mke. Na kama ukimtreat vizuri mkeo, ile hali ya kuchapiwa pia itaondoka maana atakuwa hana wa kukulinganisha nawe akiamini kuwa umfanyiayo katika tendo ndo ambayo yanafanywa.

NB:
1: Sio wote waliotolewa bikra kabla ya ndoa hawajatulia, wengine hutolewa na wanaume ambao hawajatulia na sio sahihi kwa hao wanawake.
2: Kina dada jitahidini kubana kilichopo baina ya mapaja yenu, wengine huwafuata kwa hilo tu.

Its just my mtazamo.....unaweza kuukubali au kuukataa
 
Sijawahi hebu ninong'oneze nijue kwaninni ilikuwa hivyo zamani?

Iliwapasa kujitunza na ndio ilikuwa fahari kwa wazazi na binti pia. Na ukiangalia kwa makini utagundua ndoa nyingi walioolewa wakiwa bikra zimedumu sana kwa mda mrefu. Mind you, Nimesema Ndoa NYINGI. Na sio zote.
Reason: Kuna upendo mkubwa sana kati ya wana ndoa hawa. Wanawake walio wengi hujifunza mapenzi kutoka kwa wapenzi wao waliowabikiri kwa mara ya kwanza na hudumu mda mrefu sana na wapenzi wao hao.
Ntakuja tena na sababu kadha wa kadha. Wacha nihangaike na hii jam ya mjini. Mvua ya mwaka huu haitaki kukopesha.
 
Mwanaume husikia raha sana anapombikiri mwanamke, na pia anajisikia faraja kuwa yeye ndiye wa kwanza kukata utepe!

Tatizo ukizoea kubikiri utataka uendelee kubikiri. Kuna raha ya kubikiri we acha tu!

acha kudanganya watu,kuna raha gani kubikiri?
mimi nishabikiri sana na sijawahi kuiona au kuipata io raha,sana kero tu..bora waloisha bikiriwa...
 
Watu wengi wanapenda kuoa wanawake bikira, wakati unapomuoa bikira yake inakuwepo ukishambikiri anakuwa sio bikira tena. Je kuna haja ya kuhangaika na mabikira wakati bikira zao hazidumu hata week moja? Si bora kutafuta yoyote yule aliye tulia na mnayependana kwa wakati huo?

Kwann ukinunua maji yakiwa yameondolewa sealed huyataki??? Bikira = sealed.
 
Mwanaume wengi wakikutana na bikra wanaoa haraka sana kama walishajiandaa kimaisha.

but unaweza kuwa na mahusiano na used kwa miaka hata 5 but kuoa unasita sita kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom